Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Kwa hiyo tatizo ni serikali yenyewe, kujifanya inajua sana?

Cc: mahondaw
Boss kuna vibali kuvipata inachukua hata zaidi ya miaka kumi. Huwezi amka siku moja useme eti naiona Madrid ndio hii hapa. Networking, lobbying, armtwisting, partnerships, code sharing, kukubalia wengine wafanye biashara kwako ndio mchezo wenyewe kwenye biashara ya usafiri wa anga.
 
Ahaaa haaa haaa
Si Lusaka na Harare tayari tunatua?
Hawa jamaa wanafikiri Airbus zimepaki tu uwanjani.
Airbus hizo ni crucial sana kwa ATC ni mpumbavu tu kama mange anayeweza hisi zinauzwa
Mpka sasa zina cover
Entebbe
Harare
Lusaka
Mwanza
Mbeya
Hahaya..
Soon zitaanza
Joburg na Mumbai
Hamna ndege inayoouzwa hapo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui yule kahaba kaibukia wapi!!?
Kaja na umbea wake.
 
Hahaa! 😀 Ndugu yangu, hivi unafahamu kwamba Kenya kwa mujibu wa katiba kuna sheria ambayo inazilazimisha serikali na mashirika ya umma kuwapa raia takwimu, habari na taarifa? Zozote zile ambazo zinawahusu au zinazohusu shughuli zozote zinazoendelea nchini. Wakikatalia ruksa kufungua kesi mahakamani na watumishi wa umma wanaohusika watalazimika kufika mbele ya mahakama kujibu mashtaka. Yaani vitu kama hivyo sio vya kuomba omba kwenye karne hii.
Mbona katiba yenu inakataza Ukabila na rushwa lakini Bado vinashamiri na mnavipenda?, katiba ni kitabu tu, muhumi ni watu wenyewe, kama binadamu amekataa kutekelezeka na kufuata vitabu vitakatifu, je katiba ina uwezo gani?. Mlijisifu kuwa na katiba bora, lakusikitisha kila siku nchi yenu inazidi kuelekea kubaya, rushwa, unemployment, crime, Hunger, poverty na ugumu wa maisha vinaongezeka, faida mliyotengeneza baada ya kupata katiba mpya ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achana na hili pumbavu as if JK alivyo-ban KQ Skyteam members wali-side na KQ!
Spin me a story we kibwengo. Sky Team iliside na mbilikimo yupi, kati ya ATCL ambayo haikuwa imemea fuzi wakati huo au FastJet na zile route zake kienyeji?
But do you really know what is SkyTeam (member of FlyingBlue)?
Do you? Ndio
hawa members wa SkyTeam.
0a_20m_4col_horiz_rgb.jpg
Its more than just partnerships and codesharing agreements. Infact politics plays a crucial role. Its a syndicate, a type of a cartel. You must be mad if you think ATCL would get unrestricted access to Schipol Intl. Airport(SkyTeam HQ) while at the same time playing dirty politics against KQ in Tz airports.
 
Spin me a story we kibwengo. Sky Team iliside na mbilikimo yupi kati ya ATCL ambayo haikuwa imemea fuzi wakati huo na FastJet ile ya route kienyeji? Do you? Ndio
hawa members wa SkyTeam.
0a_20m_4col_horiz_rgb.jpg
Its more than just partnerships and codesharing agreements. Infact politics plays a crucial role. You must be mad if you think ATCL would get unrestricted access to Schipol Intl. Airport(SkyTeam HQ) while at the same time playing dirty politics against KQ in Tz airports.
Leta evidence ya unachoongea kisheria!
 
Mbona katiba yenu inakataza Ukabila na rushwa lakini Bado vinashamiri na mnavipenda?, katiba ni kitabu tu, muhumi ni watu wenyewe, kama binadamu amekataa kutekelezeka na kufuata vitabu vitakatifu, je katiba ina uwezo gani?. Mlijisifu kuwa na katiba bora, lakusikitisha kila siku nchi yenu inazidi kuelekea kubaya, rushwa, unemployment, crime, Hunger, poverty na ugumu wa maisha vinaongezeka, faida mliyotengeneza baada ya kupata katiba mpya ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kelele, pambaneni na mshamba wenu ambaye huwa anajiita kichaa. Endeleeni kunajisi katiba yenu na kurudi nyuma na kuingia kwenye ligi za nchi zinazo ongozwa na madikteta. Kama inawapendeza nyinyi sisi ndio kina nani? Hatutawakwaza. Ila kujilinganisha na Kenya kidemokrasia ni upumbavu wa hali ya juu.
 
Boss kuna vibali kuvipata inachukua hata zaidi ya miaka kumi. Huwezi amka siku moja useme eti naiona Madrid ndio hii hapa. Networking, lobbying, armtwisting, partnerships, code sharing, kukubalia wengine wafanye biashara kwako ndio mchezo wenyewe kwenye biashara ya usafiri wa anga.

Hatukulijua hilo wakati tunanunua hizo ndege?

Iweje sasa tuzione chungu?

Cc: mahondaw
 
Hahaa! 😀 Ndugu yangu, hivi unafahamu kwamba Kenya kwa mujibu wa katiba kuna sheria ambayo inazilazimisha serikali na mashirika ya umma kuwapa raia takwimu, habari na taarifa? Zozote zile ambazo zinawahusu au zinazohusu shughuli zozote zinazoendelea nchini. Wakikatalia ruksa kufungua kesi mahakamani na watumishi wa umma wanaohusika watalazimika kufika mbele ya mahakama kujibu mashtaka. Yaani vitu kama hivyo sio vya kuomba omba kwenye karne hii.
Kwa hiyo source ya taharifa yako ni Mange!! Mbona tamko la serikali limetoka ila ume amaua kuside na source ambayo haieleweki. Ungemjua vizuri Mange usingeleta hii thread ya kujiabisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona katiba yenu inakataza Ukabila na rushwa lakini Bado vinashamiri na mnavipenda?, katiba ni kitabu tu, muhumi ni watu wenyewe, kama binadamu amekataa kutekelezeka na kufuata vitabu vitakatifu, je katiba ina uwezo gani?. Mlijisifu kuwa na katiba bora, lakusikitisha kila siku nchi yenu inazidi kuelekea kubaya, rushwa, unemployment, crime, Hunger, poverty na ugumu wa maisha vinaongezeka, faida mliyotengeneza baada ya kupata katiba mpya ni ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ahaaa haaa haaa
Nimepata title of the research for constitutional law students.

The Implementation of Kenyan Constitution: Examining Theory and Practice.
 
img_20190329_201147-jpeg.1057522
Source sio Mange Kimambi tu. Hiyo taarifa ya tamko kutoka kwa serikali yenu ambayo hata ichoboy01 ameileta humu inatumia hiyo image ya flightradar24 hapo juu ikidai kwamba ndege ilikodishwa ikasafirisha wateja hadi JKIA na ikarudi ikatua Tz. Hebu tizama hiyo image ya safari ya airbus yenu hapo juu uniambie ni wapi ilitua Tz. Ndege iliruka kutoka JKIA ikazunguka hadi anga ya Tz na ikarudi JKIA bila kutua sehemu yeyote Tz. Hivi nyinyi watu huwa mmerogwa au? Hata kuwa makini na vitu simpo kama hivyo ni kibarua kigumu? Hadi mnachosha aisee. Sasa ni nani anajiabisha kati ya mimi na wewe?
Kwa hiyo source ya taharifa yako ni Mange!! Mbona tamko la serikali limetoka ila ume amaua kuside na source ambayo haieleweki. Ungemjua vizuri Mange usingeleta hii thread ya kujiabisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ichoboy01 kumbe ni biashara. Ilikuwa imeleta korosho au?
Baadhi ya hawa watani wetu ni ma'slow poke' hadi wanatisha. Mara airbus yao ilikuwa imekuja maonyesho ya ndege, maonyesho ambayo hata wakenya nao hawayajui. Mara ilikuwa imekodishwa na airbus, mara ilikuwa imekodishwa kusafirisha watu. Wakati kwenye image ya flightradar24 ya safari ya ndege yenyewe hamna sehemu yeyote ambayo ilitua Tz. Dah! Dunia ina mambo.
 
Back
Top Bottom