pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
- Thread starter
-
- #141
Boss hiyo chang'aa umetumia leo ipo on point sana, itakuwa leo walisahau kutia maji. Hadi kiswahili chako leo naona kimenyooka kidogo. 😀 Tashwishi ni kwamba unanikanganya bure kwasababu sielewi unaongea kuhusu nini. 😀 Dadavua zaidi uncle.Hii habari ya A220 Kuja kenya bado unaihoji kwa nguvu hivi?
Acha umbeyaIla Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
Wacha kushugulika na mimi binafsi..Ng'ang'ana na hiyo app ya Flight24 usipitwe na uhondo...Leo Dirimulaina lazima iguze lami ya nairobiBoss hiyo chang'aa umetumia leo ipo on point sana, itakuwa leo walisahau kutia maji. Hadi kiswahili chako leo naona kimenyooka kidogo. 😀 Tashwishi ni kwamba unanikanganya bure kwasababu sielewi unaongea kuhusu nini. 😀 Dadavua zaidi uncle.
Kumbe ndege ya ATCL ikutua Nairobi ni sifa? Ndio maana umebugia chang'aa ya bei leo? 😀 Safi sana, karibuni JKIA, uwanja wa ndege wa kisasa.Wacha kushugulika na mimi binafsi..Ng'ang'ana na hiyo app ya Flight24 usipitwe na uhondo...Leo Dirimulaina lazima iguze lami ya nairobi
Wewe utapitwa na uhondo, kaa macho bwana Lidirimulaina lipo angani sasa likija nairobi...Ukipitwa na hili ukose udaku wa kesho usitulaumu😂😂😂Kumbe ndege ya ATCL ikutua Nairobi ni sifa? Ndio maana umebugia chang'aa ya bei leo? 😀 Safi sana, karibuni JKIA, uwanja wa ndege wa kisasa.
Finarry! someone just woke up flom a deep srumber after being hit by the tluth yesterday.is wear and tear on airclafts a form of depleciation mkikuyu akiri timamu?accounting:how is depleciation carcurated?Hii habari ya A220 Kuja kenya bado unaihoji kwa nguvu hivi?😂😂😂 Hadi mishipa inakutoka 😂😂😂
Haya kesho Jiwe anatuma Dirimulaina Nairobi, imwage kitengo cha wanabiashara maarufu wanajulika na kama omba omba angalau hifadhi ya nchi iendelee kunona😂😂😂
Haya yote tutafanya usiku, uwe rada na Flight24 jombaa, wala usilale..tafuta miraa ung'ang'ane usipitwe na uhondo huu😂😂😂
Richard irakunda!Ongezea hapo kuwa think tank ni mtu ambae ni zaidi ya GENIUS kwa akili na uwezo wa kufikiria
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Andika kiswahili kifaransa au kirusi mm sijui kidhungu mama watotoRichard irakunda!
Why do tznns worship megafuli? Why is he so special?
Jina lake na keny*talk ni censored. The latter is because of hatred and jealousy but the former?? Kweli anaogopwa.hahaa
YOU KNOW NOTHING JANE SNOWKha!shauri yako basi. If you think that your aircrafts won't depreciate coz they're special & extraordinary,well ,,good! A piece of advice though. Don't expose them to oxygen.hiyo yenu ni ya iron ndio maana inakataliwa😆😆😆😆😆
So it's true they were upgrading jf?I thought sth else was hYOU KNOW NOTHING JANE SNOW
Bonjour?Unfortunately, sijui hizi lugha. Kwanza nachukia kifaransa sana.Napenda kihispania.Buen dia 🌞Andika kiswahili kifaransa au kirusi mm sijui kidhungu mama watoto
Sent using my iPhone using jamiiforum app
Ndio madhara ya kile ambacho kwa kimombo huwa wanasema 'one man show'. Jiwe the electrician, Jiwe the plumber, Jiwe the mason, Jiwe the carpenter, Jiwe the foreman, Jiwe the architect, Jiwe the engineer. Jombaa hapo mjengo lazima utaporomoka.Kwa maana hiyo we have poor administration, which doesn't advice the nation properly...
Kuna watu hawajafanya majukumu yao vyema...
Cc: mahondaw
Yo tambien. Me ecanta el espanyol.Bonjour?Unfortunately, sijui hizi lugha. Kwanza nachukia kifaransa sana.Napenda kihispania.Buen dia
Wow! bonito.unajua lugha nyingi sana wewe.Yo tambien. Me ecanta el espanyol.
Hamna lolote.. huyo ni mshamba wa kimasai kutoka Kajiado, kaja Nairobi akiwa 25, hana jipya..!! te echo de menos Jane love [emoji41]Wow! bonito.unajua lugha nyingi sana wewe.
La puto cabron, vete a la mierda!Hamna lolote.. huyo ni mshamba wa kimasai kutoka Kajiado, kaja Nairobi akiwa 25, hana jipya..!! te echo de menos Jane love [emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hajafikisha 25 huyo acha kumzeesha. 😁😁Se graduo de la universidad el ano pasado.Hamna lolote.. huyo ni mshamba wa kimasai kutoka Kajiado, kaja Nairobi akiwa 25, hana jipya..!! te echo de menos Jane love
Sent using Jamii Forums mobile app