Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Hii habari ya A220 Kuja kenya bado unaihoji kwa nguvu hivi?
Boss hiyo chang'aa umetumia leo ipo on point sana, itakuwa leo walisahau kutia maji. Hadi kiswahili chako leo naona kimenyooka kidogo. 😀 Tashwishi ni kwamba unanikanganya bure kwasababu sielewi unaongea kuhusu nini. 😀 Dadavua zaidi uncle.
 
Ila Mange Kimambi naye sio mtu mzuri. Eti ndege ilipowasili alikatika kweli kweli hadi akateguka kiuno! Hahaha! [emoji1][emoji1][emoji1] My ribs!
tapatalk_1553878376016-jpeg.1057465
Acha umbeya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Boss hiyo chang'aa umetumia leo ipo on point sana, itakuwa leo walisahau kutia maji. Hadi kiswahili chako leo naona kimenyooka kidogo. 😀 Tashwishi ni kwamba unanikanganya bure kwasababu sielewi unaongea kuhusu nini. 😀 Dadavua zaidi uncle.
Wacha kushugulika na mimi binafsi..Ng'ang'ana na hiyo app ya Flight24 usipitwe na uhondo...Leo Dirimulaina lazima iguze lami ya nairobi
 
Wacha kushugulika na mimi binafsi..Ng'ang'ana na hiyo app ya Flight24 usipitwe na uhondo...Leo Dirimulaina lazima iguze lami ya nairobi
Kumbe ndege ya ATCL ikutua Nairobi ni sifa? Ndio maana umebugia chang'aa ya bei leo? 😀 Safi sana, karibuni JKIA, uwanja wa ndege wa kisasa.
 
Kumbe ndege ya ATCL ikutua Nairobi ni sifa? Ndio maana umebugia chang'aa ya bei leo? 😀 Safi sana, karibuni JKIA, uwanja wa ndege wa kisasa.
Wewe utapitwa na uhondo, kaa macho bwana Lidirimulaina lipo angani sasa likija nairobi...Ukipitwa na hili ukose udaku wa kesho usitulaumu😂😂😂
 
Hii habari ya A220 Kuja kenya bado unaihoji kwa nguvu hivi?😂😂😂 Hadi mishipa inakutoka 😂😂😂
Haya kesho Jiwe anatuma Dirimulaina Nairobi, imwage kitengo cha wanabiashara maarufu wanajulika na kama omba omba angalau hifadhi ya nchi iendelee kunona😂😂😂
Haya yote tutafanya usiku, uwe rada na Flight24 jombaa, wala usilale..tafuta miraa ung'ang'ane usipitwe na uhondo huu😂😂😂
Finarry! someone just woke up flom a deep srumber after being hit by the tluth yesterday.is wear and tear on airclafts a form of depleciation mkikuyu akiri timamu?accounting:how is depleciation carcurated?
 
Ongezea hapo kuwa think tank ni mtu ambae ni zaidi ya GENIUS kwa akili na uwezo wa kufikiria

Sent using my iPhone using jamiiforum app
Richard irakunda!
Why do tznns worship megafuli? Why is he so special?
Jina lake na keny*talk ni censored. The latter is because of hatred and jealousy but the former?? Kweli anaogopwa.hahaa
 
Richard irakunda!
Why do tznns worship megafuli? Why is he so special?
Jina lake na keny*talk ni censored. The latter is because of hatred and jealousy but the former?? Kweli anaogopwa.hahaa
Andika kiswahili kifaransa au kirusi mm sijui kidhungu mama watoto

Sent using my iPhone using jamiiforum app
 
Kha!shauri yako basi. If you think that your aircrafts won't depreciate coz they're special & extraordinary,well ,,good! A piece of advice though. Don't expose them to oxygen.hiyo yenu ni ya iron ndio maana inakataliwa😆😆😆😆😆
YOU KNOW NOTHING JANE SNOW
 
Kwa maana hiyo we have poor administration, which doesn't advice the nation properly...

Kuna watu hawajafanya majukumu yao vyema...

Cc: mahondaw
Ndio madhara ya kile ambacho kwa kimombo huwa wanasema 'one man show'. Jiwe the electrician, Jiwe the plumber, Jiwe the mason, Jiwe the carpenter, Jiwe the foreman, Jiwe the architect, Jiwe the engineer. Jombaa hapo mjengo lazima utaporomoka.
 
Back
Top Bottom