Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

img_20190329_201147-jpeg.1057522
Alafu sijui ATCL wataibuka na hadithi gani kwasababu safari ya ndege yenyewe kutoka uwanjani na hadi ilipotua tena JKIA, Nairobi imenaswa vizuri sana na mtandao wa flightradar24. Nambari za usajili, 5H-TCH Air Tanzania.
 
img_20190329_201147-jpeg.1057522
Alafu sijui ATCL wataibuka na hadithi gani kwasababu safari ya ndege yenyewe hadi JKIA, Nairobi imenaswa vizuri sana na mtandao wa flightradar24. Nambari za usajili, 5H-ATCH Air Tanzania.

>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.

Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.

1553891974384-png.1057685

Aidha ndege hiyo iliondoka Nairobi saa nne usiku na kutua Dar es Salaam saa 5 na dakika 43 usiku.

Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
 
>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.

Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.

Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.

1553891974384-png.1057685
Jombaa muache kutubeba kimalenge malenge, ingependeza zaidi kama mngetangulia kwa kutueleza hayo maonyesho ya ndege yanaitwaje na yalipangwa na nani na kwa madhumuni gani.
 
Sasa unataka hata ndege ikikudishwa tufanye sherehe?
 
Endelea kujitia hamnazo, ila najua swali langu umelielewa vizuri, tena sana. Umeeleza kwamba ndege ilitua JKIA kwa maonyesho ya ndege, ila hujafafanua maonyesho yanaitwaje na ni maonyesho ya aina gani na kwa madhumuni gani. Hayo maelezo mengine ya safari ilianza wapi na lini na ikaisha wapi na saa ngapi yote yapo kwenye mtandao wa flightradar24. Mtu yeyote ambaye ana uwezo wa kuingia kwenye mitandao au kupata app yao atayajua hayo yote, tena bila ya kuhitaji ufafanuzi wowote ule wa ziada. Alafu kwa mujibu wa flightradar24 ndege bado ipo JKIA, Nairobi. Kwahivyo 'maonyesho' bado yanaendelea au?.
 
We dint hav an airshow the last time i checked so wanasema maonyesho gani hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Labda ni ile A.S.K Show ya ukulima, na hiyo nayo inakuwaga ni mwezi wa kumi. Hahaa! 😀 Hawa watani wetu huwa wanabebwa kimaandas sana na hii serikali yao na mashirika yake ya umma. Ingekuwa ni wakenya ndio wanauliza maswali kama haya, alafu eti wajibiwe kimzaha mzaha hivi, bila shaka lazima 'kingenuka'.
 
Watnzania wenzangu ni kama makondoo, akili hamna wanaringia ukubwa wa mkia
 
Back
Top Bottom