Lewis254
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 7,729
- 3,569
alizani biashara ya ndege ni kama kula biskuti na juisJamaa alishakula chake cha udalali saizi katulia tuli anabak kuchorachora ndege na rangi za nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
alizani biashara ya ndege ni kama kula biskuti na juisJamaa alishakula chake cha udalali saizi katulia tuli anabak kuchorachora ndege na rangi za nyumba
Sent using Jamii Forums mobile app
Hehehehe unataka mifupa mikavu uitabirie?
Hahahaha
Huyo jamaa hana heshima kabisa, hata mimi mwenyewe pia amenishangaza. R.I.P Mama Lucy Kibaki.Hehehehe unataka mifupa mikavu uitabirie?
Alafu sijui ATCL wataibuka na hadithi gani kwasababu safari ya ndege yenyewe hadi JKIA, Nairobi imenaswa vizuri sana na mtandao wa flightradar24. Nambari za usajili, 5H-ATCH Air Tanzania.![]()
Jombaa muache kutubeba kimalenge malenge, ingependeza zaidi kama mngetangulia kwa kutueleza hayo maonyesho ya ndege yanaitwaje na yalipangwa na nani na kwa madhumuni gani.>>>>> Taarifa za ndani kutoka ATCL, zinasema Ndege hiyo ilikodiwa kwenda kufanya maonyesho ya ndege nchini Kenya, kisha ilirejea hapa nchini.
Shirika la Ndege nchini, ATCL, limekanusha uvumi kuwa moja ya ndege zinazomilikiwa na Shirika hilo aina ya Airbus iko mbioni kuuzwa nchini Kenya.
Kwa mujibu wa taarifa za kumbukumbu za anga kupitia mtandao wa Flightradar24, Ndege namba 5H-TCH aina ya Airbus, A220-300, iliondoka Dar es Salaam majira ya 9.17 mchana kuelekea Nairobi Kenya, na majira ya saa 12 jioni iliruka kutokea Uwanja wa Jomo Kenyatta kisha kutua katika Uwanja huohuo muda wa saa moja jioni.
![]()
Sasa unataka hata ndege ikikudishwa tufanye sherehe?Jombaa muache kutubeba kimalenge malenge, ingependeza zaidi kama mngetangulia kwa kutueleza hayo maonyesho ya ndege yanaitwaje na yalipangwa na nani na kwa madhumuni gani.
Endelea kujitia hamnazo, ila najua swali langu umelielewa vizuri, tena sana. Umeeleza kwamba ndege ilitua JKIA kwa maonyesho ya ndege, ila hujafafanua maonyesho yanaitwaje na ni maonyesho ya aina gani na kwa madhumuni gani. Hayo maelezo mengine ya safari ilianza wapi na lini na ikaisha wapi na saa ngapi yote yapo kwenye mtandao wa flightradar24. Mtu yeyote ambaye ana uwezo wa kuingia kwenye mitandao au kupata app yao atayajua hayo yote, tena bila ya kuhitaji ufafanuzi wowote ule wa ziada. Alafu kwa mujibu wa flightradar24 ndege bado ipo JKIA, Nairobi. Kwahivyo 'maonyesho' bado yanaendelea au?.Sasa unataka hata ndege ikikudishwa tufanye sherehe?
very suspicious activity,na msiseme maintenance, we dont service airbusesAlafu sijui ATCL wataibuka na hadithi gani kwasababu safari ya ndege yenyewe hadi JKIA, Nairobi imenaswa vizuri sana na mtandao wa flightradar24. Nambari za usajili, 5H-TCH Air Tanzania.![]()
Acha uhuni jombaa, jaribu kuwa na huruma bana. [emoji1]Hiyo hatuitaki wakafugie kuku....
Labda ni ile A.S.K Show ya ukulima, na hiyo nayo inakuwaga ni mwezi wa kumi. Hahaa! 😀 Hawa watani wetu huwa wanabebwa kimaandas sana na hii serikali yao na mashirika yake ya umma. Ingekuwa ni wakenya ndio wanauliza maswali kama haya, alafu eti wajibiwe kimzaha mzaha hivi, bila shaka lazima 'kingenuka'.We dint hav an airshow the last time i checked so wanasema maonyesho gani hayo?
Sent using Jamii Forums mobile app
Watnzania wenzangu ni kama makondoo, akili hamna wanaringia ukubwa wa mkiaLabda ni ile A.S.K Show ya ukulima, na hiyo nayo inakuwaga ni mwezi wa kumi. Hahaa! 😀 Hawa watani wetu huwa wanabebwa kimaandas sana na hii serikali yao na mashirika yake ya umma. Ingekuwa ni wakenya ndio wanauliza maswali kama haya, alafu eti wajibiwe kimzaha mzaha hivi, bila shaka lazima 'kingenuka'.