joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Ndio utamu wa "one man show", Jiwe amepambana na rushwa, Jiwe ameokoa billions zilizokua zinaibwa na mafisadi, Jiwe amefufua ATCL, Jiwe anajenga ultra modern and electric SGR at half price, Jiwe anajenga hydro electric dam kwa pesa yetu. Wakati ninyi wenye kushirikisha watuNdio madhara ya kile ambacho kwa kimombo huwa wanasema 'one man show'. Jiwe the electrician, Jiwe the plumber, Jiwe the mason, Jiwe the carpenter, Jiwe the foreman, Jiwe the architect, Jiwe the engineer. Jombaa hapo mjengo lazima utaporomoka.
1)Rushwa imeshindikana
2)Madeni yanawazidi nguvu
3)Njaa
4)Galana kulalu imewashinda
5)Scandals haiishi, a be a waste ya maji projects, pesa zote kubeba Rutto
6) Mauaji na ajili za barabarani haziishi
Sent using Jamii Forums mobile app