Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Majirani njooni humu tukubaliane bei, hii ndege yenu ya ATCL tunataka tuinunue haraka iwezekanavyo kabla tarehe yake ya expiry haijawadia

Ndio madhara ya kile ambacho kwa kimombo huwa wanasema 'one man show'. Jiwe the electrician, Jiwe the plumber, Jiwe the mason, Jiwe the carpenter, Jiwe the foreman, Jiwe the architect, Jiwe the engineer. Jombaa hapo mjengo lazima utaporomoka.
Ndio utamu wa "one man show", Jiwe amepambana na rushwa, Jiwe ameokoa billions zilizokua zinaibwa na mafisadi, Jiwe amefufua ATCL, Jiwe anajenga ultra modern and electric SGR at half price, Jiwe anajenga hydro electric dam kwa pesa yetu. Wakati ninyi wenye kushirikisha watu
1)Rushwa imeshindikana
2)Madeni yanawazidi nguvu
3)Njaa
4)Galana kulalu imewashinda
5)Scandals haiishi, a be a waste ya maji projects, pesa zote kubeba Rutto
6) Mauaji na ajili za barabarani haziishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli hizi propaganda za one man show, basi tu wewe na wakenya wengi mnatamani mngekuwa na kiongozi aina yake, lkn sababu hamna basi unajaribu kumkandia ma kubeba mabaya anayosemewa, sijui utajisikiaje akichaguliwa tena

Unaamanisha yale mauaji ya watoto mkoa wa NJOMBE uliopo Nairobi Kenya?
 
Sio kweli hizi propaganda za one man show, basi tu wewe na wakenya wengi mnatamani mngekuwa na kiongozi aina yake, lkn sababu hamna basi unajaribu kumkandia ma kubeba mabaya anayosemewa, sijui utajisikiaje akichaguliwa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kujiliwaza, Jiwe hawezi kubalika hata kule Somalia.
 
Boss haikutua KIA, itisha mjukuu wako miwani kisha fatilia hiyo safari pole pole na kidole chako. Ndege ilitoka JKIA ikazunguka kote huko juu juu kwenye anga ya Tz na ikarudi tena JKIA. Hao walioikodisha labda walidondoshwa na parachute huko huko juu angani.
HAHAHA SS iyo ndege ni mali ya TZ ww unavyosema ilianzia safari JKIA na haikuruka tokea TZ nikuuulize ilifikaje JKIA hapo kama haikuruka tokea TZ ?
 
Hatuongei kuhusu ilivyofika JKIA, hiyo ni obvious au ilivyorudi/itakavyorudi. Tunaongea kuhusu hiyo safari ya JKIA-JKIA kupitia anga ya Tz bila kutua. Explanation ni 1. Labda ilikuwa ni test run ya maintainance, ila hamna maintainance ya airbus JKIA. 2. Inspection/testing ya mitambo yake, iwe ni kwa madhumuni ya kuiuza au sababu zingine. 3. Rubani alishindwa kutua KIA ila itakuwa vigumu kwasababu haingembidi arudi hadi JKIA ili atue. 4. Rubani alikuwa mwendawazimu. 😀

iyo ndege ilionekana tarehe 28 march, embu fuatilia ktk flight radar uone kama ilirudi tena mpaka leo tunavyo ongea ndege bado inaruka masafa dsm to harare ....wa 254 punguzeni WIVU wajameni ...subirini M7 awaletee sukari toka UG na mayai
 
Hahahahahah, Wakenya siku mkimpata Jiwe, Wakenya wote Diaspora watarudi Kenya, ndio sababu kiongozi yoyote mchapakazi huko Kenya anaitwa Magufuli, mfano mzuri ni Matiang'i.

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti tumpate Jiwe, mtu ambaye anapiga push up hadharani kwenye mikutano na kujiita kichaa? Unaumwa? [emoji15]
 
Back
Top Bottom