Majirani Tanzania huwa mnakwama wapi kwenye utalii pamoja na vivutio vyote hivyo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kwenye ukuaji wa utalii, Tanzania iko nyuma ya Kenya, Ethiopia, Afrika Kusini, Mauritius, Seychelles, Botswana na Namibia kwa mujibu wa ripoti ya The Travel and Tourism Competitive Index 2019

Kile hunishangaza, Tanzania ina vivutio bora kuliko mataifa yote haya, yenyewe kwanza ni muungano wa mataifa mawili, kule Zanzibar pekee yake ina vivutio bora hata kuizidi Mauritius, lakini utakuta muungano wote huo unashindwa na kainchi kadogo kama Kenya.

Huwa mnakwama wapi majirani, vyuo mnavyo, shule mnazo, tatizo nini haswa....
---------------------------------

 
Sawa we boya ukubwa wa nchi na watalii vinahusiana nni? Tanzania inawatalii wa kutosha sio lazma tuwe wa kwanza.
 
kwani watalii ndo wanaleta maendeleo au.............
 
Kinachosumbua Tz Ni ushamba, wanafikiri au wamekwa ilia traditional tourism za national parks and game reserves wakisahau Kuna conferencing na biashara pia.
 
Yaan issue ni ukuaji wa uchumi means growth and development right??
So how do you expect a grown up i mean mtu ambae au kitu ambacho kiloshakua tayari kiendelee kukua at the same rate na kitu ambacho bado kichanga yaan iko ivi ukuaji wa mtoto mdogo ni mkubwa kuliko ukuaji wa mtu mzima kwa sababu stage mnazopitia sisi tulisha vuka tushakua katika viwango hivyo.. sasa ivi tunaangalia how much do you earn from your growing siku ukiona umeingiza pesa nyingi kuliko Tz kupitia utalii ndo uje na propaganda za kwamba sisi hatuendelei.
 

So Afrika Kusini wanapitia mlikopitia kwenye soko la utalii.
 
Hayakuhusu mambo yetu tuachie wenyewe cha msingi pesa inaingia,
Kafungue uzi "kenya inakwama wapi karne hii inapewa misaada ya chakula"
 
Tuambie revenue zenu then ukafananishe na zetu za utalii, nenda kaangalie watalii wangap kwa mwaka wanakuja Tz fananisha na wenu ukipata jibu kaa nalo uslete humu, by the way who cares abt utalii? We dont care, sis ni washamba, hatufanyi biashara en yet we are above your sh*t country
Kinachosumbua Tz Ni ushamba, wanafikiri au wamekwa ilia traditional tourism za national parks and game reserves wakisahau Kuna conferencing na biashara pia.
 
Kukosa ubunifu ni zaidi ya laana. Kule Serengeti huwa wanawakaribisha watalii na ule wimbo wa, 'Jambo, jambo bwana..... Kenya yetu, Hakuna Matata!' Hapo kwa jina la Kenya wanaingiza jina Tz, 'off key' na 'off tune' kabisaaa, tena live bila aibu. Tune ambayo watalii wote wanafahamu wazi kwamba asili yake ni Kenya. Alafu utawasikia wakisema, huku wamebana pua, eti 'nyang'au wanatuibia na wanafaidika sana na rasilimali zetu'.
 

Nimecheka sana.
 
Hiyo report nimeipitia. Kuna ukweli somehow. Ila utambue Ethiopia imekuwa namba moja ukanda huu kwa kuchangiwa na shirika lake la ndege. Shirika hili limeifanya Bole airport kuchallenge viwanja vya ndege vya mashariki ya kati kwa kufungua route za Africa.

Tz tumekuwa tukipata idadi ndogo ya utalii kutokana na kutokuwa na direct flight routes ila sasa ATCL ipo na pia kuna maboresho makubwa ya viwanja vingi vya ndege na Jengo la tatu la abiria uwanja wa JKN. Kwa mapinduzi hayo upande wa miundombinu ya uchukuzi tunategemea ongezeko kubwa zaidi la watalii.

Pia kuna ongezeko la uwekezaji wa hotel za hadhi ya nyota tano kutoka kwa wawekezaji wa China na US. Hivyo sekta ya utalii ina skyrocket. Inakuwa kwa kasi ya ajabu. Kupanda mlima kwa cable cars..utalii wa kuvua kwa boat chato na Nyerere national park hivi vina impact kubwa katika sekta ya utalii.

Tusubirie report ya mwaka ujao then turudi hapa kupeana mrejesho.
 

Tihahahhaaaaa. Lol. Acha kusema ukweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…