Majirani Tanzania huwa mnakwama wapi kwenye utalii pamoja na vivutio vyote hivyo

Majirani Tanzania huwa mnakwama wapi kwenye utalii pamoja na vivutio vyote hivyo

Kwenye ukuaji wa utalii, Tanzania iko nyuma ya Kenya, Ethiopia, Afrika Kusini, Mauritius, Seychelles, Botswana na Namibia kwa mujibu wa ripoti ya The Travel and Tourism Competitive Index 2019

Kile hunishangaza, Tanzania ina vivutio bora kuliko mataifa yote haya, yenyewe kwanza ni muungano wa mataifa mawili, kule Zanzibar pekee yake ina vivutio bora hata kuizidi Mauritius, lakini utakuta muungano wote huo unashindwa na kainchi kadogo kama Kenya.

Huwa mnakwama wapi majirani, vyuo mnavyo, shule mnazo, tatizo nini haswa....
---------------------------------



Kabla ya utawala huu, we never had a competent minister na wasaidizi wake waliokuwa wanaona mbali. With Kigwangala tutafikia malengo tu, time will tell.
 
Tuambie revenue zenu then ukafananishe na zetu za utalii, nenda kaangalie watalii wangap kwa mwaka wanakuja Tz fananisha na wenu ukipata jibu kaa nalo uslete humu, by the way who cares abt utalii? We dont care, sis ni washamba, hatufanyi biashara en yet we are above your sh*t country
TANZANIA wakifunga mipaka yake. Na KENYA mtakosa watalii. TANZANIA wakinwagilia maji Serengeti mtakosa watalii. Wakizui nyumbu mmejwisha. Walizuia KQ Kuja DAR mkapata tabu sana
 
TANZANIA wakifunga mipaka yake. Na KENYA mtakosa watalii. TANZANIA wakinwagilia maji Serengeti mtakosa watalii. Wakizui nyumbu mmejwisha. Walizuia KQ Kuja DAR mkapata tabu sana

Hivi unafahamu kuna miaka tulifungiana mipaka kila mtu akaishi kwao, mabalozi wakarudi nyumbani, mipaka ikafungwa hata wananchi ambao wanaishi mipakani ambao wana ndugu pande zote mbili kila mmoja akavuka na kurudi upande wake na kuanzia hapo wakaanza kuonana kama maadui, haikuruhisiwa hata panya kuvuka kwenda upande wa pili, na tuliishi hivyo hivyo maisha yakanoga tu, pamoja na yote hayo tukazidi kuwashinda nyie kiuchumi hadi leo pengo linaongekezeka kila uchao, nyie ni wazembe siku zote huwa hatubabaishwi na lolote mnalolisema.
 
[emoji28][emoji28] Sasa naomba itoke list kitakwimu ni watalii wangapi wameingia Kenya na nini watalii kutoka nchi gani wanaongoza kutembelea Kenya. I'm mean tupate data ya kila tourists na nchi anayotoka.

Wakenya mna shida sana! Ndio maana nashangaa mbona rate zenyu kwenye utalii ni kubwa compare to Tz. And still tunawapita kimapato na huku nyinyi mkiwa na idadi kubwa ya watalii kutuzidi. Kumbe ni mambo ya upishi kawaida. Nyinyi kunyaland bado...bado Sanaa.
 
[emoji38][emoji38][emoji382][emoji382][emoji382][emoji382] kwani vivutio vyenye Tzn inajivunia ni wanyama tuu? Is mnt Kilimanjaro or Zanzibar beaches animals? Wewe ni kibuyu,hoja inabaki palepale licha ya Tzn kuwa na vivutio vingi vya kila aina still inazidiwa na nchi zenye vivutio vya kawaida
Hongereni kwa watalii.

Screenshot_20191006-221033~2.jpeg
 
Back
Top Bottom