Majirani Tanzania huwa mnakwama wapi kwenye utalii pamoja na vivutio vyote hivyo

Kenya tourism earnings = USD 1.57B

Tanzania tourism earnings = USD 2.43B

Wewe baki na uzwazwa wako wakati tunawakimbiza kwa mbali.

Tuambie revenue zenu then ukafananishe na zetu za utalii, nenda kaangalie watalii wangap kwa mwaka wanakuja Tz fananisha na wenu ukipata jibu kaa nalo uslete humu, by the way who cares abt utalii? We dont care, sis ni washamba, hatufanyi biashara en yet we are above your sh*t country
Rudi kwa hio ripoti jibu utalipata bila hata kuonyesha revenue.
Mpo juu yetu kweli na $60 GDP ilhali sisi tuko chini yenu na $100b GDP...utalii wenu ukifikia wa Kenya Basi itakuwa wazi kwenye GDP yenu, ila kwa Sasa pikeni takwimu ambazo haziendani na Hali halisi pale bongolalaland.
 
Kenya is currently the third largest tourism economy in Sub-Saharan Africa after South Africa and Nigeria, according to the Ministry of Tourism and Wildlife.

In a statement, the ministry said Last year, travel and tourism grew by 5.6 per cent to contribute Sh790 billion and 1.1 million jobs to the Kenyan economy.

[/URL]

Hakuna Cha kupika takwimu Kama nyinyi mkijaribu kukimbizana na magwiji was utalii Kenya, Nigeria na South Africa. 😭😭😭
 
Rudi kwa hio ripoti jibu utalipata bila hata kuonyesha revenue.
Mpo juu yetu kweli na $60 GDP ilhali sisi tuko chini yenu na $100b GDP...utalii wenu ukifikia wa Kenya Basi itakuwa wazi kwenye GDP yenu, ila kwa Sasa pikeni takwimu ambazo haziendani na Hali halisi pale bongolalaland.
Sasa kati ya kenya na Tanzania ni nchi ipi uchumi hauendani na hali halisi kwa wananchi 😂😂😂
 
Hata bila kutumia akili hi Ni automatic tu;
Tanzania with a population of 60 million and a GDP of $59b na per capita $990

Kenya with a population of 45 million and a GDP of $100b na per capita $1800

Pole mwanangu 😭😭😭
 
Mmefika lini 100? Na sis tuna mapato makubwa kwe sekta ya utalii, na tunaingiza watalii wengi kuliko ninyi kwa mwaka. Do your research
Rudi kwa hio ripoti jibu utalipata bila hata kuonyesha revenue.
Mpo juu yetu kweli na $60 GDP ilhali sisi tuko chini yenu na $100b GDP...utalii wenu ukifikia wa Kenya Basi itakuwa wazi kwenye GDP yenu, ila kwa Sasa pikeni takwimu ambazo haziendani na Hali halisi pale bongolalaland.
 
Hata bila kutumia akili hi Ni automatic tu;
Tanzania with a population of 60 million and a GDP of $59b na per capita $990

Kenya with a population of 45 million and a GDP of $100b na per capita $1800

Pole mwanangu 😭😭😭
Nyie ndo wale mnaulizwa hiki mnajibu kile 😂😂😂 next time nitatumia gikuyu
 
Kenya tourism earnings = USD 1.57B

Tanzania tourism earnings = USD 2.43B

Wewe baki na uzwazwa wako wakati tunawakimbiza kwa mbali.

All that fertile land and mineral resources na bado Tanzania wamekwama kimaendeleo, kiuchumi ,utalii ,miundombinu ,siasa ,katiba na mengine mengi . Tanzania is a very useless giant.
 
Mwari wa nyukwa ni muhiku? 😂😂😂

Nakut umanye lugha yako ya kaa henyu kithukuma
Hapa nachezea hata kwenye lugha zenu za asili....ilhali asilimia kubwa baina yenu hamjui hata salamu kwa kilugha.
 
Mimi sio mthukuma 😂😂😂
Yaani nisijue lugha yangu ya asili 😂😂😂
 
Hahaa! 😀 Inachekesha boss, ila ni kweli kwamba ubunifu kwa wenzetu huwa unaishia kwenye kuiga tu.
Tanzania ina packages nyingi sana kwenye sector yake ya utalii, recently kutazinduliwa utalii wa boats and diving kwenye ziwa Victoria, tayari ujenzi wa bandari katika fukwe za kwenye ziwa Victoria unaendelea, ikiwa ni pamoja na hotels
 
Hata bila kutumia akili hi Ni automatic tu;
Tanzania with a population of 60 million and a GDP of $59b na per capita $990

Kenya with a population of 45 million and a GDP of $100b na per capita $1800

Pole mwanangu 😭😭😭
Hahaha you wish to have 100b
Kadanganye rika lako
DvAifHBWwAArvEu.jpeg
 
Back
Top Bottom