Majirani Tanzania huwa mnakwama wapi kwenye utalii pamoja na vivutio vyote hivyo

Sawa we boya ukubwa wa nchi na watalii vinahusiana nni? Tanzania inawatalii wa kutosha sio lazma tuwe wa kwanza.
Wewe kweli ni kibuyu yaani huoni kwamba kwa vivutio vingi na vya kipekee Tzn ilifaa iwe kiongozi wa utalii just like Morocco na egypt? Worse enough eti watalii 1.5 mln ni wanatosha? Kwa akili kama hizo si ajabu Tzn ni ldc despite plenty of resources
 
Kibuyu kingine hiki huku,si ajΓ bu Magu hapumziki kutumbua eti mtu kama huyu ndo sampo ya viongozi wa bongolala
 
Hizo zoo zenu muda si mrefu hakuna mtu atakaye taka kuja huko.
 
WTC Report ya 2018 inaonyesha kuwa TZ iliingiza 2.5billion USD wakati KY iliingiza USD 1.5 billion USD toka kwenye utalii.
 
Hebu tafuta WTC report ya mwaka 2018 uisome au pengine nayo imepikwa na TZ?
 
All that fertile land and mineral resources na bado Tanzania wamekwama kimaendeleo, kiuchumi ,utalii ,miundombinu ,siasa ,katiba na mengine mengi . Tanzania is a very useless giant.
Tumekwama kiaje msee, tushawai agiza msosi kwenu huko. Embu fafanua kukwama
 
Wewe kweli ni kibuyu yaani huoni kwamba kwa vivutio vingi na vya kipekee Tzn ilifaa iwe kiongozi wa utalii just like Morocco na egypt? Worse enough eti watalii 1.5 mln ni wanatosha? Kwa akili kama hizo si ajabu Tzn ni ldc despite plenty of resources
Ww ndo mwendawazimu, unadhani kila mtu anapenda kuja kuangalia simba na swala mbugani? Nchi zinazoongoza kwa watalii duniani hazina mbuga wala vivutio vya asili nchi kama saudia ni jangwa na wageni kibao wanaenda. Watalii wengi wanaenda sehem za starehe na wachache ndo wanaopenda "safari" za mbugani. Kwahyo bichwa lako lazma lijue mbuga sio kivutio pekee cha utalii, ndio maana wageni wengi wetu wanaishia zanzibar au dar sababu ya beautiful beaches
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰πŸ’‰ kwani vivutio vyenye Tzn inajivunia ni wanyama tuu? Is mnt Kilimanjaro or Zanzibar beaches animals? Wewe ni kibuyu,hoja inabaki palepale licha ya Tzn kuwa na vivutio vingi vya kila aina still inazidiwa na nchi zenye vivutio vya kawaida
 
Eti kenya ina vivutio vya kawaida, au ni kwamba sis tumezidi, mana mbuga mnazo kama sis tuna serengeti na ngorongoro, ninyi mna maasai mara na tsavo, tuna fukwe nanyi pia mna fukwe, tuna mt kilimanjaro nanyi mna mt kenya. N nin ambacho sis tunacho na nyie hamna? Ukwel mnao n kwamba tumewazidi kila kitu na vivutio tunavyo almost the same acheni visingizio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…