Majirani Tanzania huwa mnakwama wapi kwenye utalii pamoja na vivutio vyote hivyo



Kabla ya utawala huu, we never had a competent minister na wasaidizi wake waliokuwa wanaona mbali. With Kigwangala tutafikia malengo tu, time will tell.
 
TANZANIA wakifunga mipaka yake. Na KENYA mtakosa watalii. TANZANIA wakinwagilia maji Serengeti mtakosa watalii. Wakizui nyumbu mmejwisha. Walizuia KQ Kuja DAR mkapata tabu sana
 
TANZANIA wakifunga mipaka yake. Na KENYA mtakosa watalii. TANZANIA wakinwagilia maji Serengeti mtakosa watalii. Wakizui nyumbu mmejwisha. Walizuia KQ Kuja DAR mkapata tabu sana

Hivi unafahamu kuna miaka tulifungiana mipaka kila mtu akaishi kwao, mabalozi wakarudi nyumbani, mipaka ikafungwa hata wananchi ambao wanaishi mipakani ambao wana ndugu pande zote mbili kila mmoja akavuka na kurudi upande wake na kuanzia hapo wakaanza kuonana kama maadui, haikuruhisiwa hata panya kuvuka kwenda upande wa pili, na tuliishi hivyo hivyo maisha yakanoga tu, pamoja na yote hayo tukazidi kuwashinda nyie kiuchumi hadi leo pengo linaongekezeka kila uchao, nyie ni wazembe siku zote huwa hatubabaishwi na lolote mnalolisema.
 
[emoji28][emoji28] Sasa naomba itoke list kitakwimu ni watalii wangapi wameingia Kenya na nini watalii kutoka nchi gani wanaongoza kutembelea Kenya. I'm mean tupate data ya kila tourists na nchi anayotoka.

Wakenya mna shida sana! Ndio maana nashangaa mbona rate zenyu kwenye utalii ni kubwa compare to Tz. And still tunawapita kimapato na huku nyinyi mkiwa na idadi kubwa ya watalii kutuzidi. Kumbe ni mambo ya upishi kawaida. Nyinyi kunyaland bado...bado Sanaa.
 
Hongereni kwa watalii.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…