Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote





 
Albadir ya kumpiga risasi Tundu Lissu.
 
Sasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote





Ushalewa gambe LA mchina alowapa msaada unakuja kuhara humu jf?

Kwanza nampongeza waziri kwa kuonyesha kwamba ni kiasi serikari inawajali hadi wananchi maskini.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
unataka ujue ni kitu gani kinaendelea kwanza alaff siku zote watu hawako responsible kwa unavyo elewa wewe ila watu wako responsible kwa kile wanachomaanisha wao atakama wewe hujaelewa...

mfano hapo walikua wanazindua mradi wa umeme vijijini sasa ulitaka wazindulie kwenye ghorofa? wakati hapo ndo mazingira halisi ya kinijini.. yaan wewe ndo unaonekana mpuuzi kwa kukurupuka bila kujiuliza kwann ilikua hivyo kwa akiri yako unafkiri Tanzania kuna transfoma moja kwann usijiulize mbona zingine hazijawai kuzinduliwa?? poor kenyan...

habari za Tz mnalete huku tukizileta sisi mnalalamika huku sio forum ya Tz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini unajua kuwa
Tz ndiyo Nchi ya kwanza Africa Nyumba za Tembe kupata Umeme.

Sera ya Taifa Ni kuhakikisha kila raia anapata umeme haijalishi Hali yake ..

ukiwa kijijini umeme unaupata kwa shilingi za kitanzania 2,7000/Tsh
ambayo kwa haraka Ni kama sh 3000/Kny.

Haya Ni Maendeleo makubwa.

program ya maji inaendelea,Huku Kuna miradi ya mabomba almaarufu "Mabomba ya mchina"
Ambayo kila nyumba inaingiziwa Maji Safi. BURE KABISAA.

Kama ambavyo maji Ni muhimu kwa kila mtu vile vile hata Nishati Ni Muhimu pia.

serikali ya Tanzania kupitia REA wamefanikiwa kupitisha umeme vijiji vingi na vingine walikuwa wanawekewa buree KABISA

Mnyonge mnyongeni lakini haki yake Mpeni
Sasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote






Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa ni kigoma! Kwani mabati yanauzwa ghali aje tz?Halafu niulize kukinyesha hakutakuwa na madhara yoyote nyaya hizi zikiguswa na maji?
Wakati masikini wa Tanzania wakiperekewa huduma bora masikini wa Kenya wanakufa njaa. Sasa kama upo timamu sijui utauliza IPI serikari inayojitambua?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu ccm ndiyo inaonekana bogus, unadhani watamuona bogus uhuru kenyatta, yule ni akili kubwa
Kwaiyo kwa chadema masikini hastahili kupewa umeme kama waulize wenzako huko kibera na turkana wanavyokufa na njaa.

Wakati serikari yetu ikipereka umeme hadi kwa wananchi masikini huko Kenya masikini hana hata haki ya kula na kuishi kwa kudra za msaada wa pombe za mchina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vidanganyika Acheni maziara bwana... .. . Duuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…