Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

Hapa tunazungumza kuhusu kukata utepe kwa nyumba iliyoezekwa nyasi, umeme sehemu kama hiyo ni kuwatoa kafara hiyo familia.
ule ulikuwa uzinduzi wa Awamu ya Pili katika mkoa wa Kigoma (REA).
NA hii Ni program ya umeme vijijini.

Sasa ulitaka uzinduzi wa Umeme vijijini uzinduliwe kwenye maghorofa?

hivi unajua nyumba za ki,Africa zilivyo za vijijini?
Tumia Akili Basi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jombaa, wazo la kuwaunganisha umeme wanaoishi kwenye nyumba za matope ni wazo nzuri. Yaani umeme kwa kila mwananchi, kama haki yao. Ila nyinyi wauza sura na wabeba mkasi mmezidi. Mnakata utepe na kuzindua kutoka kwa transfoma, kwa nyanya hadi mnakata utepe kwenye nyumba ya mtu, utadhani ndio alizaliwa jana. Hahaha! 😀
Ujue ungepeleleza na kuuliza KWANZA.
ule ulikuwa Ni uzinduzi wa Awamu ya kusambaza umeme vijijini.

Sasa ulitaka uzinduzi wa kufungua Awamu mpya ufanyie mjini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa nyumba ya nyasi? Mnawatoa kafara watu mkidhani mnawasaidia.
mkuu hiyo Ni nyumba ya Nini?
Hope mjadala Sasa umeisha!

swala la uzinduzi tumeona ruto Hadi Kenyatta akizindua

swala la Nyumba za Tembe,tumeona hadi kwenu zimewekwa

swala la Nyasi NAONA hiyo picha inajieleza..

OGOPA SANA TECHNOLOGY
tapatalk_1554699697582.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
unaposema eti paa la Nyasi unakosea sana.
Maeneo ya beach au kwenye bar kubwa huwa wanaweka zile paa za Nyasi na makuti.

na ndani umeme unakuwepo,Hapo napo vipi imekaaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bomet fire fighting truck worthy KShs 21 mln at work!

 
Bomet County’s fire trucks are spectacularly bad
Bomet-Firefighting-trucks-600x398.jpg

Bomet Firefighting truck

Shares



Bomet County bought three firefighting trucks last year at a cost of Ksh. 7 million each. The County came under fire because the trucks were not the standard kind that we are used to. They were converted Tata trucks, with a tank and a house ladder at the top.
Bomet Firefighting trucks launch

Bomet Governor Isaac Ruto defended the purchase saying that the trucks were well suited for the Bomet terrain and fitted their budget.

A video by Kirui Jeplanget, has been posted on Facebook, showing one of the trucks arriving at the scene of a fire. When the ‘fire hose’ is produced it becomes apparent that the powerful water bowsers that Governor Ruto claimed the trucks had do not exist. At least not in the usual form. The hoses the trucks have are actually car wash pressure hoses. Also, the ‘firefighters’ do not have proper fire fighting clothing and other equipment (oxygen masks & tanks, boots, gloves etc).

Firefighting equipment is really important for counties and its sad to see Bomet County not taking this important function seriously. Watch the video of the Bomet Fire truck below

 
Jaribu kupenda kilicho chako hata kama kina kasoro..huyo Kenyatta hata angekuwa genius vipi ni mkenya tu .Ninyi ndiyo huwakana Wazazi wenu mjini kisa hawapigi Mswaki na ni wachafu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijaona tatizo kuwapa umeme watu wenye nyumba za nyasi ili waboreshe maisha yao. Pia kuweka umeme kwenye nyumba ni chanzo cha mapato kwa serikali pia inamuongezea fursa za uchumi mtumiaji.
Waafrika tuache ulimbukeni usiokua na maana wa kujidharau.
 
HADHARANI kabisa🤣🤣🤣🤣🤣


Sent from my iPhone using JamiiForums

Hata mimi mara ya kwanza kukiona hiki kibao I was like 🤣🤣🤣🤣🤣. Nilifikiri labda sijasoma vizuri.
 
Back
Top Bottom