Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Huko kwenu rais mzima ndie alizindua ujinga kama huo wa wa waziri wa TZSasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote
![]()
![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huko kwenu rais mzima ndie alizindua ujinga kama huo wa wa waziri wa TZSasa kukata utepe kwenye nyumba ya matope kisa imewekewa umeme....
Watu wanatukana kwenye comments dunia yote
![]()
![]()
Huko kwenu rais mzima ndie alizindua ujinga kama huo wa wa waziri wa TZView attachment 1063800
Ujinga ujinga tuWapi umeona nyasi hapo, labda unisaidie kuona vizuri....halafu kukata utepe ni kioja cha mwaka. Kama ile ya kuzindua lift mkoa wote wa Mbeya.
Kwa nyumba ya nyasi? Mnawatoa kafara watu mkidhani mnawasaidia.
Jombaa, wazo la kuwaunganisha umeme wanaoishi kwenye nyumba za matope ni wazo nzuri. Yaani umeme kwa kila mwananchi, kama haki yao. Ila nyinyi wauza sura na wabeba mkasi mmezidi. Mnakata utepe na kuzindua kutoka kwa transfoma, kwa nyanya hadi mnakata utepe kwenye nyumba ya mtu, utadhani ndio alizaliwa jana. Hahaha! 😀
Wakati wananchi masikini wa Tanzania wakipekekewa huduma za Maji na umeme wakenya masikini wanakufa kwa njaa na kuishi kwa kudra za msaada chang'aa za mchinaVidanganyika Acheni maziara bwana... .. . Duuuh.
Hujaona hapo juu au unajifanya kichaa?Kwa nyumba ya nyasi? Mnawatoa kafara watu mkidhani mnawasaidia.
Wakati wananchi masikini wa Tanzania wakipekekewa huduma za Maji na umeme wakenya masikini wanakufa kwa njaa na kuishi kwa kudra za msaada chang'aa za mchina
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ya nyasi wanaingiza nyaya za umeme halafu wanazindua kwa kukata utepe.
Wewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
Umepanic brother.Naona nyie mnazindua hadi mefi ya kuliwa na Wadanganyika wenye njaa
Kichwa Maji wewe huoni post namba 39?Wewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
endelea kujitoa ufahamuWewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
Wenye nyumba za nyasi hawastahili kwa sababu mnahatarisha maisha yao. Wajengeeni nyumba kwanza halafu muwawekee umemeSwali la msingi ni "Je wenye nyumba za udongo hawastahili kuwa na umeme?"
Sidhani kama serikali (agent wao) itakuwa anaunganisha bila kuangalia vigezo vya kuunganisha.Wenye nyumba za nyasi hawastahili kwa sababu mnahatarisha maisha yao. Wajengeeni nyumba kwanza halafu muwawekee umeme