Majirani vioja vyenu vinasababisha EAC tuonekane mabogus na shithole kabisa

Wapi umeona nyasi hapo, labda unisaidie kuona vizuri....halafu kukata utepe ni kioja cha mwaka. Kama ile ya kuzindua lift mkoa wote wa Mbeya.
Ujinga ujinga tu
 
Tatizo lili anzia kuponda sisi wabongo kwamba viongozi wetu wanauza sura.ilipotupiwa picha ya kenyatta na ruto nao wakifanya yale yale sasa hoja umehamishia kwenye mkasi na tepe.

Mlitaka kutuzodoa bureee kumbe wote akili zetu ni zile zile.
USOGA WI KUA KATI MWINA NSONGOO
 
Hujaona hapo juu au unajifanya kichaa?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe utakua hujaamka, hiyo nyumba ni kuta za matope ila juu ni mabati, kwa kifupi kuipa umeme sio kosa na inaonyesha tunavyowajali watu wa kipato cha chini.
Nyie paa la nyasi mnatia nyaya za umeme halafu mnazindua kwa kukata utepe kwa mkasi na mapicha.
 
Rudi comment namba 39
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa Maji wewe huoni post namba 39?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kichwa Maji wewe huoni post namba 39?

Sent using Jamii Forums mobile app

Wapi kwenye hiyo picha imeonyesha kwamba hiyo nyumba yenye paa la nyasi imewekwa umeme, hamna picha hata moja ya Kenya utaona ujinga kama huo.
Sisi tunawajali watu wa kipato cha chini, tunaunga kwenye umeme nyumba zenye kuta za matope na paa za mabati, lakini sio ujuha kama kwenu kuwatoa kafara familia maskini kwa kupitisha nyaya kwenye paa la nyasi huku mkikata utepe na kukenua meno.
 
Swali la msingi ni "Je wenye nyumba za udongo hawastahili kuwa na umeme?"
 
Wenye nyumba za nyasi hawastahili kwa sababu mnahatarisha maisha yao. Wajengeeni nyumba kwanza halafu muwawekee umeme
Sidhani kama serikali (agent wao) itakuwa anaunganisha bila kuangalia vigezo vya kuunganisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…