Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Juice world

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2022
Posts
1,982
Reaction score
2,706
Mrejesho wakuu nilileta hapa uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka Tsh. Milioni 10.

Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili, jamaa jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa leo.

Je, mahakama umetenda haki au imewaonea hawa majirani wadau.

Pia soma>> Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu
 
drinking-tea.gif
 
Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau

Uzi wa juzi tu, kesi imeendeshwa siku ngapi?
 
Tulisema humu kwamba hao jamaa lazima walipishwe hiyo fidia, wakaja Mawkili wao humu wakijifanya kunukuu vipengele na vipingili vya sheria
 
Back
Top Bottom