Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Majirani wameamriwa na Mahakama wamlipe jamaa Tsh. 500

Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Hukumu zipo online unaweza ukaiweka kwa ajili ya ku-support thread.
 
Back
Top Bottom