Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #21
Mahakama kuu ya dar es salaamMahakama ipi? watu wachomoe hukumu kwa manufaa ya uelewa mpana wa umma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahakama kuu ya dar es salaamMahakama ipi? watu wachomoe hukumu kwa manufaa ya uelewa mpana wa umma
Mrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau
Uzi wa juzi tu, kesi imeendeshwa siku ngapi?
Hahahaacha tu na hili jua ndo hainyweki kabisa
Ni hatari hii habari ndio inaongelewa Sasa hivi hapa mtaani labda jamaa watakata rufaaTulisema humu kwamba hao jamaa lazima walipishwe hiyo fidia, wakaja Mawkili wao humu wakijifanya kunukuu vipengele na vipingili vya sheria
Mitaa gani hiyo mkuu na kesi ilifanyikia mahakama gani?Sijui Mimi hii habari imeongelewa mtaani Leo kwamba jamaa Jana WAMEAMRIWA wamlipe million 500 huyo jamaa
SidhaniDuuh sijajua
Shida nini kwani mbona hasira kama mtu uliechanganyikiwa na ugumu wa maishaYaani kesi ni juzi tu leo hukumu. Huyu ni muongo mpumbavu
Shida niniNiliwahi kushauri humu kua JamiiForums inatakiwa ianzishe Jukwaa la watoto.
Shida nini
Ni hatari mkuu labda wakate rufaaAu Mahakama iliyomwamuru Mzee Magoma ailipe Yanga Billioni 1.5.
Mzee Magoma huwa anacheka tu ukimkumbusha hiyo hukumu.
Atazitoa wapi hizo hela wakati hana🤣🤣🤣.
Hizi mahakama zinatakiwa kutoa hukumu kulingana na mazingira.
attach hapa hiyo nakala ya HukumuMrejesho wakuu nilileta hapa Uzi ambao majirani wawili huku mtaani kwetu walikua wanamhisi jamaa anafanya dili haramu wakaenda kumripoti polisi na hatimae polisi walimuweka ndani na katika kumchunguza jamaa ikagundulika jamaa kazi yake ni kubeti na akaonesha mikeka yake aliyowin na ilikua ni watu ambao wanaweka pesa nyingi sana amabapo Kuna mikeka mingine kastake mpaka 10M Sasa jamaa alienda kushtaki mahakamani Kwa kumdhalilisha na kumchafua mtaani majirani zake hao wawili jamaa Jana kashinda kesi mahakama imeamuru majirani wamlipe jamaa ndani ya wiki 2 hiyo pesa nimeona nilete mrejesho hapa Leo je mahakama umetenda haki au imewaonea Hawa majirani wadau