Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
-
- #201
Hatari sanaSasa hata akishinda hao majirani zake wana hiyo 500,Uswazi bwana umbea umbea tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuishi uswahili ni kazi kama kazi nyingine.yan kabisa jamaa wameungana na kwenda kureport kisa hawa muelewi mshkaji.?
Hao jamaa wanatakiwa kuhangaishwa hivyo hivyo mahakamani mpaka akili ziwakae sawa.
Ni hatari sanaKatika wale maadui 3 wa Taifa, kuna hili kubwa lao tulisahau na linatutesa sana, UCHAWI.
Hujui kama mtu ukimdhalilisha anajipangia yeye mwenyewe fidia sababu yeye ndio umemdhaliisha ba hiyo ndio hasara aliyoingia kutokana na kumdhalilishaAmna kesi hapo ata angeenda na tundu lissu kwanza mnajua maana ya kuzalilisha? Na iyo fidia yeye ndo anajipangia?
Lakini wanahitajika mahakamani wakajitetee usahihi wao sababu mahakamani pia ni sehemu sahihi ya hakiMajirani wako sahihi, tunaambiwa Kila mara Kama Kuna mtu unamtilia shaka karipoti kwa mamlaka. Wengine wanakuwaga majambazi.
Halafu watu wa kubet achen kuleta stori za kujifariji 😂😂 betting sio ajira kafanyeni kazi
Hapo Sasa anajua yeye kwanini kafanya hivyoHuyo anataka pesa zake na mawakili nao wale pesa zake pamoja na mahakimu,polisi ndio mahali pakupeleka tuhuma na kazi ya polisi ni kuchunguza tuhuma zilizopelekwa kwao,wakibaini kuwa tuhuma unazotuhumiwa nazo siyo za kweli huo unakuwa ndio mwisho wa tuhuma zako na huwezi ukamshitaki aliyekutuhumu.
Hatoboi hiyo caseWakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Mkuu,Mi nazani wewe wangekuzushia la kukwepa kodi na kuhujumu uchumu au kutakatisha pesa, yaani wewe ndio ungeenda kutoa hela ndeeeeefu ili kutoka lupango.
Hawezi kushinda hiyo kesi, ni jukumu la mwananchi kutoa taarifa polisi kwa mtu asiyemuelewa, raia hawajamfungulia mashitaka bali wametoa taarifa polisi, wafanye kazi yao.
Mbona nimeshaelezea kazi yake ni kubeti na kaonyesha mikeka anayokula mamilioni akiwa polisi kazi inabaki Kwa majirani kuthibitisha hizo kazi haramu mahakamani walizomuhisiMajirani hawana kosa, aseme anafanya kazi gani na ithibitike.
Niliwahi kuwa na mpangaji, anashinda ndani. Akirudi toka nje anaingia ndani chap na kufunga geti. Yupo karibu na geti, akiwa anatoka ni kama mke wa mtu anachomoka gest.
Nikamwambia dada toka umehamia hapa sikuelewi. Tafuta nyumba nyingine
Duuh aiseeLazima wamlipe fidia. Hiyo ni False imprisonment.
Washaambiwa kuna Wanaijeria wanaishi kwa kufanya biashara ya kuteka watu na kuwatoa figo.Unaanzaje kwenda polisi kutoa taarifa kuwa kuna jamaa mtaani ana hela ila hatujui anafanya kazi gani? na unaanzaje ku conclude kuwa ana dili za kihalifu bila ya kupata link yoyote?
Hii nchi sio ya mchezo mchezo kabisa, vichwa vya watu vina hali mbaya sna
Hatari sana mkuuWashaambiwa kuna Wanaijeria wanaishi kwa kufanya biashara ya kuteka watu na kuwatoa figo.
Hatari aisee Kila kitu ni kutangazakwahiyo sasa tunatakiwa turipoti source zetu za vipata kwa majirani?