Wakuu mbon mim naon majiran wpo right t
kwahiyo wewe unataka jirani akupe taarifa zake zote za njia ya kipato chake sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu mbon mim naon majiran wpo right t
Kwa nini polisi watoe siri za aliyewapa taarifa?
Aha mkuu sasa wewe ndio mtu sahihi wa kutuhabarisha sisi huku kama matukio kama haya yapo huko, na ikitokea inakuwaje maana comments za uzi huu nyingine zinaona wanaopenda kuchungulia mambo ya jirani wako sawa.Mkuu,
Labda kwa huko.
Huku nilipo kila mwaka nina file kodi. Yani nalipa kodi zaidi ya ninavyotakiwa halafu mwisho wa mwaka TRA yao (IRS) wananirudishia hela nyingine kwa sababu nimewazidishia kodi ninazotakiwa kulipa.
Na rekodi zote zipo.
Kwa hiyo labda huko, kwa huku ni vigumu kuzusha mambo hayo kwa sababu kila kitu kinafanywa kwa kitabu na rekodi zote zipo.
Yani hata nikipoteza makaratasi yangu na electronic recirds ni kitendo cha siku tatu tu napiga simu natumiwa kutoka taasisi ya kodi ya Marekani, hata nikiwa Tanzania.
Mkuu poleni sana majirani mlipeni tu hakuna namnaIla mahakamani hamnaga kuhisi mbona
Ndiyo maana sisi wajanja tunajua namna ya kufanya kamwe hutasikia kelele kama hiziwabongo wanapenda kilamtu ahangaike🤣🤣🤣
ukila kilaini wanakushtaki maaamaeeee
Swala sio kunip taarif zote,kumbuk kuw hata litakapotokea janga lolote katik mazingir mnamoishi ni sisi majiran tutakaotumik kusaidia/kuwajibik juu ya hilo.pengne wew ujawai ishi nchi za watu pengine ungejua watu wanavyojali usalam wao.hili jambo limejikita San kwny swala la usalam kiukwel huwez ishi na mtu ambae humu elew ama anaejengea watu hofukwahiyo wewe unataka jirani akupe taarifa zake zote za njia ya kipato chake sio?
Swala sio kunip taarif zote,kumbuk kuw hata litakapotokea janga lolote katik mazingir mnamoishi ni sisi majiran tutakaotumik kusaidia/kuwajibik juu ya hilo.pengne wew ujawai ishi nchi za watu pengine ungejua watu wanavyojali usalam wao.hili jambo limejikita San kwny swala la usalam kiukwel huwez ishi na mtu ambae humu elew ama anaejengea watu hofu
Mkuu,Aha mkuu sasa wewe ndio mtu sahihi wa kutuhabarisha sisi huku kama matukio kama haya yapo huko, na ikitokea inakuwaje maana comments za uzi huu nyingine zinaona wanaopenda kuchungulia mambo ya jirani wako sawa.
Tangazo limekaa kibingwaWakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
🤣 Mwanang kuw uyaone ama tembea ujue mazamzam ya Dunia.suala la kutokujua njia za kipato za jirani yako linakueaje tatizo kwako? hapo suala la usalama wako linahusikaje? wabongo umebea unatutesa sana. sasa Jirani anaeishi nyumba nyengine unataka umuelewe ili iweje? typical mambo ya kibuzabuza tu
Naziona pande zote mbili hapa, ingawa ni kwa kutumia taarifa chache/ finyu zilizowakilishwa hapa.
Kwa upande mmoja, majirani labda wamehisi au wameona kitu ambacho si sawa.
Katika spirit ya ‘if you see something, say something’, wakaenda polisi kutoa taarifa.
Kwa hilo naelewa. Maana tuseme labda jamaa angekuwa ni ghaidi na humo ndani kwake anashinda na kupanga maafa, halafu itokee siku moja anafanikiwa, watu wangehoji mengi sana ikiwemo kwa nini majirani hawakusema chochote walipohisi kuna jambo ambalo haliko sawa hapo nyumbani kwake.
Kwa upande mwingine, naiona na kuielewa haja ya ‘mind the business that pays you’ [mind your own damn business].
Ni suala la balancing act: watu kujali mambo yao na kwa wakati huo huo kuwa ni concerned citizens.
Polisi baada ya kumhoji, kama wangebaini anajihusisha na mambo haramu, hao raia ‘wema’ wangepongezwa.
Lakini kwa vile jamaa hajakutwa na chochote kilicho haramu, ni rahisi sana kuwalaani majirani kwa kuyafuatilia maisha ya jirani mwenzao.
Mwisho, ukweli wa mambo ni kwamba, sisi binadamu tunapenda sana kufuatiliana. Ni asili yetu kuwa wadadisi.
Walichoenda kukiripoti polisi ni kipi hasa? Unayo ripoti yao neno kwa neno?Mkuu tatizo sio kupeleka repoti Polisi, bali sababu iliowafanya wapeleke hio ripoti. Mtu kuwa na maisha mazuri alafu mkawa hamzijui mishe zake ndio sababu tosheleza za kukufanya muwe na shaka nae na kwenda kupeleka repoti polisi?