Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

Nahis ni ww ,sijui Kwa n ?? Sheria zetu zinaruhusu kuhis mtu na kumripot polis ,sema polis wetu kwel wamezingua kupata taarifa za hivyo na kuwataja chanzo Cha taarifa ni ukosefu wa maadili
 
Nahis ni ww ,sijui Kwa n ?? Sheria zetu zinaruhusu kuhis mtu na kumripot polis ,sema polis wetu kwel wamezingua kupata taarifa za hivyo na kuwataja chanzo Cha taarifa ni ukosefu wa maadili
Hapo ndio walizingua kuwataja
 
kwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?

mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Ukiripot suspicious activities mamlaka zinatakiwa zifanye uchunguzi sio kukurupukia kukamatana
 
Kwa mtazamo wangu, walio report tukio hawana kosa
Kwa kuwa aliyerepotiwa halikuwa na madhara yanayo onekana kwenye jamii, wala ushahidi wa moja kwa moja; walioripotiwa ndio walitakiwa wachunguze na kujiridhisha kuwa waliyoletewa yana mashiko kabla ya kwenda kumkamata. Hivyo hao washtakiwa nao wanaweza kuruka hiyo kesi....
 
Hii habari ina maslahi gani kwa umma ?
 
Sawa ngoja tuone
 
Hamna kesi hapo , ninachojua mimi kuna kosa la malicious prosecution .
Hii na hadi mtu apelekwe mahakamani mahakama imkute hana hatia .
Sasa kama ishu imeishia polisi, Polisi ndio watakuwa na makosa kwa nini wamtaje mtoa taarifa za siri
 
Majirani wako sahihi, tunaambiwa Kila mara Kama Kuna mtu unamtilia shaka karipoti kwa mamlaka. Wengine wanakuwaga majambazi.
Halafu watu wa kubet achen kuleta stori za kujifariji πŸ˜‚πŸ˜‚ betting sio ajira kafanyeni kazi

kwahiyo mtu anpokuwa na maisha mazuri ni bila ya kuona harakati zake ni wakutiliwa shaka?
 
Nahis ni ww ,sijui Kwa n ?? Sheria zetu zinaruhusu kuhis mtu na kumripot polis ,sema polis wetu kwel wamezingua kupata taarifa za hivyo na kuwataja chanzo Cha taarifa ni ukosefu wa maadili

sababu za mumripoti ni zipi? anamaisha mazuri lakni harakati zake hazionekanwi au sio ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…