grand millenial
JF-Expert Member
- Jul 29, 2018
- 3,943
- 5,550
Innocent until proven guilty , jamaa akikomaa anashindakwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?
mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Fruit of the poisonous treeHata wakitoa kimakosa, bado haitakubalika kama ushadi mahakamani, inaotwa βIll gotten informationβ , hata kama ni kweli.
Mfano, mtu akampa siri mkewe, halafu huyo mke akaenda kuitoa polisi, hiyo taarifa haiwezi kupokelewa na mahakama kama ushahidi, maana ni βIll gotten informationβ
Hata ukafanya upekuzi kwenye nyumba au simu ya mtu hila βSearch warrantβ, ushahidi wowote utakaopatiksna, hautapokelewa na mahakama, sababu ni βill gotten evidenceβ
Kuna baadhi ya majimbo huko marekani, hata ukamrekodi video mtu akikiri kufanya jambo flani, na ikiwa hukumpa taarifa kwamba unamrekodi, huo ushahidi hautapokelewa mahakamani, sababu ni βill gotten evidenceβ
Na hili huenda ndio dhumuni kubwa la huu Uzi..., sitashangaa watu wakija kukufundisha punde..., Kwa ujira...Mimi natamani kujifunza
Mimi si mwanasheria lakini sidhani kama anaweza kuwa na kesi ya msingi hapa. Kuhisi mtu si kosa kisheria, lakini je polisi waliwataja whistle blower? Hii nayo itakuwa ni mpya. Ni haki ya msingi ya kila raia kuchukuwa taadhari kila anapohisi jambo flani haliko sawa.Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
bado taarifa ina ukakasi eti uishi kwa kutegemea mikeka !!Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Sawa ngoja tuoneMimi si mwanasheria lakini sidhani kama anaweza kuwa na kesi ya msingi hapa. Kuhisi mtu si kosa kisheria, lakini je polisi waliwataja whistle blower? Hii nayo itakuwa ni mpya. Ni haki ya msingi ya kila raia kuchukuwa taadhari kila anapohisi jambo flani haliko sawa.
Ujamaa umetuharibu sana, majirani wanaamini lazima utoke ukatafute mkate juanikwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?
mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Hawezi kuwasamehe na kaweka wanasheria wa3Huyo jamaa nachoona ni kwamba, anajua kabisa hao majirani hawana huo uwezo hata wa kumlipa mil.5, ila anachofanya ni kama kuwapa somo la kuacha umbea na kufuatilia maisha ya wengine. Kutafuta pesa sio mpaka utoke nje ya makazi yako. Kuna wanaojipatia pesa kwa njia za online ikiwemo hiyo betting, cryptocurrency, Forex, freelrncing n.k. ila eengi hawajui wanaamini kutafuta riziki ni lazima utoke asubuh urudi jioni... So hapo atawasamehe ila atakuwa kawapa somo na hawatorudia tena hizo mambo ktk maisha yao..