Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

Majirani wamemripoti jamaa kituo cha polisi kisa kazi yake haijulikani! Sasa anadai Milioni 500 kwa kuletewa usumbufu

Hata wakitoa kimakosa, bado haitakubalika kama ushadi mahakamani, inaotwa ‘Ill gotten information’ , hata kama ni kweli.

Mfano, mtu akampa siri mkewe, halafu huyo mke akaenda kuitoa polisi, hiyo taarifa haiwezi kupokelewa na mahakama kama ushahidi, maana ni ‘Ill gotten information’

Hata ukafanya upekuzi kwenye nyumba au simu ya mtu hila ‘Search warrant’, ushahidi wowote utakaopatiksna, hautapokelewa na mahakama, sababu ni ‘ill gotten evidence’

Kuna baadhi ya majimbo huko marekani, hata ukamrekodi video mtu akikiri kufanya jambo flani, na ikiwa hukumpa taarifa kwamba unamrekodi, huo ushahidi hautapokelewa mahakamani, sababu ni ‘ill gotten evidence’
Fruit of the poisonous tree
 
Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni

Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.

Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3

Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Mimi si mwanasheria lakini sidhani kama anaweza kuwa na kesi ya msingi hapa. Kuhisi mtu si kosa kisheria, lakini je polisi waliwataja whistle blower? Hii nayo itakuwa ni mpya. Ni haki ya msingi ya kila raia kuchukuwa taadhari kila anapohisi jambo flani haliko sawa.
 
Leo nmebahatika kuongea na jamaa kanipa namba zake
kasema anatoa source kutoka Mexico tunaweza jiunga naye kwa kuchangia kidogo

😂😂😂
 
Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani anashindwa ndani akitoka jioni

Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.

Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3

Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
bado taarifa ina ukakasi eti uishi kwa kutegemea mikeka !!
hapo polisi wamechemka labda kama anafanya na forex na vit vitu vingine.
nchi za wenzetu kawaida.
Majiran wanawezz kukushtak kisa unafungulia mziki juu, aliingia mtu kwako hawajaona akitoka, au kukuhisi unafanya biashara haramu.
 
Hao waseg$ wauze mali za ukoo wao wote halafu waolewe na huyo jamaa ili kufidia hiyo milioni mia tano
 
Mimi si mwanasheria lakini sidhani kama anaweza kuwa na kesi ya msingi hapa. Kuhisi mtu si kosa kisheria, lakini je polisi waliwataja whistle blower? Hii nayo itakuwa ni mpya. Ni haki ya msingi ya kila raia kuchukuwa taadhari kila anapohisi jambo flani haliko sawa.
Sawa ngoja tuone
 
Huyo jamaa nachoona ni kwamba, anajua kabisa hao majirani hawana huo uwezo hata wa kumlipa mil.5, ila anachofanya ni kama kuwapa somo la kuacha umbea na kufuatilia maisha ya wengine. Kutafuta pesa sio mpaka utoke nje ya makazi yako. Kuna wanaojipatia pesa kwa njia za online ikiwemo hiyo betting, cryptocurrency, Forex, freelrncing n.k. ila eengi hawajui wanaamini kutafuta riziki ni lazima utoke asubuh urudi jioni... So hapo atawasamehe ila atakuwa kawapa somo na hawatorudia tena hizo mambo ktk maisha yao..
Hawezi kuwasamehe na kaweka wanasheria wa3
Atawalipaje?

Kesi ya madai nayo ni aina ya BETTING
 
Back
Top Bottom