Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
nilivyotoka chuo nikaenda kwa mzee,nikamiliki kila kitu chake,na mzee kwenye inshu za pesa huwa hana habari kabisa,yeye ilimradi kazi zinaendawabongo wanapenda kilamtu ahangaike🤣🤣🤣
ukila kilaini wanakushtaki maaamaeeee
[emoji23][emoji23][emoji23]wabongo wanapenda kilamtu ahangaike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukila kilaini wanakushtaki maaamaeeee
Kwa kupata mamilioni Kwa mbinu anayotumia Kwa masikini ni ngumu sababu jamaa anabeti mechi Moja anaweka hata million 10Kuna kosa la kutoa taarifa ili polisi wafanye uchunguzi ?!!! Au anawashitaki kina nani ? Au huo ni mpango wake wa kuvuna pesa za wadau kwa kufundisha hio so called mbinu yake ya kupata mamilioni kwa kubeti ?
Anataka kubet mahakamani pia 😄Kuna kosa la kutoa taarifa ili polisi wafanye uchunguzi ?!!! Au anawashitaki kina nani ? Au huo ni mpango wake wa kuvuna pesa za wadau kwa kufundisha hio so called mbinu yake ya kupata mamilioni kwa kubeti ?
Binti umekaa kikorofi tu.
Duuh hatari mkuu nawaza Hawa majirani kama jamaa kashinda kesi nyumba zao zote si zitauzwaMajirani maskini ni hatar kwa afya yako mkuu.....
Unapoamua kutoa taarifa uwe umejiridhisha, otherwise huna kinga. Hapo wa kulaumiwa ni Polisi kwa kutoa taarifa za watoa taarifa. Polisi wana kinga kisheria, wangeweza kufanya kazi yao bila kuwataja watoa taarifa. Kitendo cha kuwataja watoa taarifa kinapelekea kujenga uhasama ndani ya jamii na hatimaye watu kuishi kwa visasi na hata kuumizana au kutiana hasara.Kuna kosa la kutoa taarifa ili polisi wafanye uchunguzi ?!!! Au anawashitaki kina nani ? Au huo ni mpango wake wa kuvuna pesa za wadau kwa kufundisha hio so called mbinu yake ya kupata mamilioni kwa kubeti ?
Kushitaki ni kutoa ushahidi wa tukio la kihalifu..., kutoa taarifa ni kutoa hisia kwamba huenda kuna uhalifu, kutoa taarifa ndio polisi na vyombo vya kisheria vinashauri ufanyeMAJIRANI wawili ndio walimshitaki na walikua polisi na yeye akiwepo
Sasa hapo ukorofi Wang uko wapi 😌Binti umekaa kikorofi tu.
Hatari sana jamaa anataka million 500 na yupo seriousKweli huyo ni mzee wa kubeti, tayari amebet M500 mahakamani 😂
We naye mwehu, sasa mahakama haitendi haki kwani hapo mahakama imeshatoa maamuzi yoyote? Wale walivyoreport polisi ni sawa maana kama mtu unamuhisi vibaya una uwezo wa kumreport na polisi walivyofanya naye mahojiano ni sawa pia, na wamejiridhisha kuwa jamaa ni mtu wa kubet tu na wamemuachia aendelee na mambo yale kwahiyo hadi hapo hakuna aliyekosea. Ila jamaa yeye ameona amedhalilishwa na ameamua kwenda mahakamani, ni haki yake pia hivyo tuiachie mahakama ifanye kazi yake.kwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?
mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Kumdhalilisha kwa kutoa taarifa polisi ? Ametoa taarifa polisi au ameandika kwenye magazeti au kuwatangazia watu ? (angetangazia jamii hio ndio ingekuwa slander) ila kama ametoa taarifa kwamba jamaa simuelewi ni kwamba amewapa kazi polisi wafanye uchunguzi (sio wamshike) bali wachunguze sasa kama walimshika bila uchunguzi wa kina huo ni uzembe wa polisi sio mtoa taarifa..., vilevile polisi wana haki ya kuja kuchunguza kuna nini kinaendelea kama wana vibali maalumu ni kama ukisimamishwa kwenye gari na kuombwa leseni yako haimaanishi wamekwambia hauna leseni ?Unapoamua kutoa taarifa uwe umejiridhisha, otherwise huna kinga. Hapo wa kulaumiwa ni Polisi kwa kutoa taarifa za watoa taarifa. Polisi wana kinga kisheria, wangeweza kufanya kazi yao bila kuwataja watoa taarifa. Kitendo cha kuwataja watoa taarifa kinapelekea kujenga uhasama ndani ya jamii na hatimaye watu kuishi kwa visasi na hata kuumizana au kutiana hasara.
Mfungua madai yupo sahihi sababu amedharirishwa kwa kuwa hakuna sheria inayomtaka kujitambulisha yeye na shughuli zake kwa majirani.
🤐🤐Sasa hapo ukorofi Wang uko wapi 😌
Kweli, hata kama hawatalipa hizo hela ila lazima wapate usumbufu kidogo wa kuhudhuria kesi mahakani, waache kiherehere. Halafu kumbuka jamaa hana kazi hivyo muda wa kwenda mahakamani hata kila siku anao, hahahahhUmbea umewatokea puani majirani
NI hivi, kesi ya kudhalilisha inahitaji umdhalilishe au umtukane mtu kwa tuhuma au taarifa za uongo kwa uma (public) katika namna ya tangazo, matamshi au chapisho. Kumripoti mtu polisi sio kumdhalilisha, hata kama hizo tuhuma a u taarifa itakuja kuthibitika sio za kweli, kwa sababu unaporipoti polisi hakuna uma unaohusika ambao utakufanya wewe uone hadhi yako imechafuliwa. Upelelezi wa polisi hautangazwi hadharani, na wao walienda kuripoti polisi in confidence kwa nia nzuri sio kudhalilisha. Polisi wangechunguza kwa siri, kama ilivyo kawaida. Kama polisi waliwatangazia watu juu ya hiyo taarifa waliyopewa wao ndio wanapaswa kushitakiwa.Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
acha kupanic au wewe ndio hao madada majirani? Mahamaka itaamuaKumdhalilisha kwa kutoa taarifa polisi ? Ametoa taarifa polisi au ameandika kwenye magazeti au kuwatangazia watu ? (angetangazia jamii hio ndio ingekuwa slander) ila kama ametoa taarifa kwamba jamaa simuelewi ni kwamba amewapa kazi polisi wafanye uchunguzi (sio wamshike) bali wachunguze sasa kama walimshika bila uchunguzi wa kina huo ni uzembe wa polisi sio mtoa taarifa..., vilevile polisi wana haki ya kuja kuchunguza kuna nini kinaendelea kama wana vibali maalumu ni kama ukisimamishwa kwenye gari na kuombwa leseni yako haimaanishi wamekwambia hauna leseni ?