Aramun
JF-Expert Member
- Nov 8, 2023
- 461
- 2,213
Hapo ndipo walipojichanganya...MAJIRANI wawili ndio walimshitaki na walikua polisi na yeye akiwepo
Mambo kama haya inabidi uwe "Anonymous"..
Unaenda kutoa taarifa kisha wewe identity yako inakuwa siri..
Sasa kwa style hiyo waliyoenda nayo jamaa ana haki kuwashitaki pia, maana wao hawajaenda kutoa taarifa ya kumtilia mashaka, bali wameenda ku-accuse directly.