Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 7,755
- 11,737
T
Tangawizi na Asali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tangawizi na Asali.
SawaT
Tangawizi na Asali.
Mimi sihusikiJamaa yuko serious Kwako na kwa Wenzako mliofanyia hilo, hivyo nakuomba anza sasa Kuuza viti vyako ili umlipe Fidia.
SijakuelewaTangazo limekuja kimkakati sana hili watu watajaa siyo muda
Acha Kuzuga Mkuu tuliosoma Cuba tumeshakushtukia mapema tu Kudadadeki. Lipa hiyo Hela au mpe Mkeo ajifidie.Mimi sihusiki
Unaakili timamu Kweli mzee mbona kama umechanganyikiwa na maishaAcha Kuzuga Mkuu tuliosoma Cuba tumeshakushtukia mapema tu Kudadadeki. Lipa hiyo Hela au mpe Mkeo ajifidie.
Mimi nilishawahi kuhisiwa jambaziWakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Nikuulize Wewe una Akili sawa sawa au Miluzi Unayoipiga imekuchanganya?Unaakili timamu Kweli mzee mbona kama umechanganyikiwa
Tufanye wewe ndio unaakili Mimi sinaNikuulize Wewe una Akili sawa sawa au Miluzi unayoipiga Imekuchanganya?
Alijuaje kuwa hao majirani wame mripoti? Ndio ujue ujinga tena wa geshi retu ra porisi.. mtu anareta taarifa ya ki interejesia wao wanamchoma .. njaa hizi..Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
Hili ndilo ulikuwa Umelisahau.Tufanye wewe ndio unaakili
Wewe ndo huelewi ,polisi hawakutakiwa kuwaonesha haowatu iwesiri yaokwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?
mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Duuh hatari mkuuMimi nilishawahi kuhisiwa jambazi
Waliitwa polisi na yeye akiwepo ndaniyeye kafahamu vp kwamba hao jirani ndio wamemshtaki
Uchaw wa kipumbav sana,ni umasikini tu ndo unasababisha haya yote ...wabongo wanapenda kilamtu ahangaike[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ukila kilaini wanakushtaki maaamaeeee