Juice world
JF-Expert Member
- Jun 7, 2022
- 1,982
- 2,706
- Thread starter
- #141
Hatari sana aiseeUchaw wa kipumbav sana,ni umasikini tu ndo unasababisha haya yote ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatari sana aiseeUchaw wa kipumbav sana,ni umasikini tu ndo unasababisha haya yote ...
Majirani ndiyo wana makosa,maana wao ndiyo walitakiwa watowe ushahidi kua jamaa ni muhalifu,tena siyo ushahidi wa maneno matupu! Ukimshutumu mtu toa na ushahidi wa shutuma zako, kuishi maisha mazuri siyo dalili za kua muhalifu!!me sijaliona tatizo la majirani ujue.
Kwakweli 🤣T
Tangawizi na Asali.
Aisee nimejifunza vitu vingine sio vya kukurupukaMajirani ndiyo wana makosa,maana wao ndiyo walitakiwa watowe ushahidi kua jamaa ni muhalifu,tena siyo ushahidi wa maneno matupu! Ukimshutumu mtu toa na ushahidi wa shutuma zako, kuishi maisha mazuri siyo dalili za kua muhalifu!!
Hizi ni tabia za kizamani za Kikomunisti.Wakuu Kuna jamaa hapa mtaani alikua anahisiwa anafanya shuguli haramu sababu anamaisha mazuri ila kazi yake haijulikani
Sasa Kuna majirani wawili wamemripoti polisi akaja kukamatwa. Sasa akiwa huko polisi akasema yeye kazi yake ni kubeti na analipa Kodi Kwa serikali kupitia mikeka yake anayoshinda na kweli kaonyesha mikeka anakula mamilioni ya pesa ni aina ya watu wanaoweka pesa nyingi sana kwenye mechi.
Sasa kingine kaenda mahakamani anawashitaki majirani zake hao wawili Kwa kosa la kumdhalilisha na kumpotezea mda wa kufanya mambo yake ya msingi na anadai fidia million 500 na ana mawakili wake kabisa wa 3
Hivi hii kesi anaweza kushinda huyu jamaa ishu ipo serious sana
serously best,ilikuwa 2022,,,,waliona nina gari,nina nyumba na shamba hapohapo home [PUGU],,nafuga nguruwe,kuku na mabata kibao,nauza maji na ninalima mihogo,,,huku nikitoka asubui kwenda job nakurudi usiku,watoto wanasoma boarding,,nalamba MAJI YA MENDE dailly......da!! nikaitwa serikali za mtaa kujieleza,,,mimi niliwaambia sina cha kujieleza,nyie nichunguzeni,mkinikuta nina hatia nipelekeni mahakamani,,,,,kwa sasa majirani wananiogopa balaa!!!D
Duuh hatari mkuu
hisia sio sababu za kumripot mtu , bali ushaidi pia .kwa hiyo jirani kutoa ripoti polisi ni vibaya?haya incase ikiwa jamaa alikuwa drugs dealer?
mahakama haitatenda haki,kwani hiyo ni kawaida kuhisi.
Kumbe chai ziko na wingi na hamsemi🤣Naam
Hakika chai nimekunywa Tena za moto..
Tuanze kwanza na mtaji wa kubeti alipata wapi!? Maana usijisifie una nyumba nyingi za kupangisha,kumbe umetakatisha pesa kupitia hizo nyumba!!Kwa kupata mamilioni Kwa mbinu anayotumia Kwa masikini ni ngumu sababu jamaa anabeti mechi Moja anaweka hata million 10
Hayo Sasa maisha binafsi ndio hayo mwisho wa siku unashitakiwa sababu ya vitu kama hivi unaulizaje mtu mtaji wa kubet amepata wapi maswali haya ndio yamewaponza majirani wenzangu maana ukimuuliza akikutajia halafu ikawa kapata kihalali je utafidia mda aliopoteza kukaa na wewe Ili akuelezeeTuanze kwanza na mtaji wa kubeti alipata wapi!? Maana usijisifie una nyumba nyingi za kupangisha,kumbe umetakatisha pesa kupitia hizo nyumba!!
Chai iliyopoa Haina wingi...labda ya moto😂😂Kumbe chai ziko na wingi na hamsemi🤣
unahisi jamaa mpuuz kwenda mahakamba bila kuwepo vitendo au lugha mbofu kwake ? watz tunapenda kuishia shallow in thinkingKumdhalilisha kwa kutoa taarifa polisi ? Ametoa taarifa polisi au ameandika kwenye magazeti au kuwatangazia watu ? (angetangazia jamii hio ndio ingekuwa slander) ila kama ametoa taarifa kwamba jamaa simuelewi ni kwamba amewapa kazi polisi wafanye uchunguzi (sio wamshike) bali wachunguze sasa kama walimshika bila uchunguzi wa kina huo ni uzembe wa polisi sio mtoa taarifa..., vilevile polisi wana haki ya kuja kuchunguza kuna nini kinaendelea kama wana vibali maalumu ni kama ukisimamishwa kwenye gari na kuombwa leseni yako haimaanishi wamekwambia hauna leseni ?
Yaani umuulize za kubetia kapata wapi,nae atauliza Wewe kama nani?!Hayo Sasa maisha binafsi ndio hayo mwisho wa siku unashitakiwa sababu ya vitu kama hivi unaulizaje mtu mtaji wa kubet amepata wapi maswali haya ndio yamewaponza majirani wenzangu maana ukimuuliza akikutajia halafu ikawa kapata kihalali je utafidia mda aliopoteza kukaa na wewe Ili akuelezee
kwamba jiran anaejiweza angeaza fuatilia maisha ya jiran ? hesabu nyepesi kbsNaile
d. Labda hao majirani zake amewakadiria na kuona wepesi. Lkn nje na hapo ajipange hiyo hela ya kubeti kulipa gharama za kesi baadae, kama hawana wakili waweke tu mlipaji yupo huyo huyo
Mi nazani wewe wangekuzushia la kukwepa kodi na kuhujumu uchumu au kutakatisha pesa, yaani wewe ndio ungeenda kutoa hela ndeeeeefu ili kutoka lupango.Hizi ni tabia za kizamani za Kikomunisti.
Kwa tuliojisumbua kusomasoma vitabu mbalimbaki vya muhimu tumezisoma tabia hizi kama sehemu ya police state katika maandiko ya mshindi wa nishani ya Nobel ya Literature ya mwaka 1970, Mrusi Aleksandr Solzhenitsyn "The Gulag Archipelago".
Mimi ninapoishi ningekuwa na majirani wajinga hivi, ningesumbuliwa sana, kwa sababu kuna kipindi nakaa miaka hata mitano nafanya kazi zangu kutika nyumbani tu. Naongoza project ya kutuma watu South America, North America, Europe, Asia, Africa, Australia, kutoka nyumbani.
Ni za kwao wanamiliki mkuuHao majirani wanamiliki hizo nyumba wanazoishi hapo mtaani au ni wapangaji tu? Maana naskia harufu ya Mali zisizohamishika, mwamba anaenda kuwa landlord wa mtaa.
Aisee maswali mengine ni ya ajabu KweliYaani umuulize za kubetia kapata wapi,nae atauliza Wewe kama nani?!
Actually shughuli nyingine zina trade secrets na mtu kukutajia shughuli yake unaweza kumgeza na kumharibia nafasi yake ya kupata kipato.serously best,ilikuwa 2022,,,,waliona nina gari,nina nyumba na shamba hapohapo home [PUGU],,nafuga nguruwe,kuku na mabata kibao,nauza maji na ninalima mihogo,,,huku nikitoka asubui kwenda job nakurudi usiku,watoto wanasoma boarding,,nalamba MAJI YA MENDE dailly......da!! nikaitwa serikali za mtaa kujieleza,,,mimi niliwaambia sina cha kujieleza,nyie nichunguzeni,mkinikuta nina hatia nipelekeni mahakamani,,,,,kwa sasa majirani wananiogopa balaa!!!