PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,689
- 25,848
Kumhisi mtu ukamhusisha na uharifu ni kumdharirisha, hata kama taarifa hiyo ilipelekwa Polisi.Kumdhalilisha kwa kutoa taarifa polisi ? Ametoa taarifa polisi au ameandika kwenye magazeti au kuwatangazia watu ? (angetangazia jamii hio ndio ingekuwa slander) ila kama ametoa taarifa kwamba jamaa simuelewi ni kwamba amewapa kazi polisi wafanye uchunguzi (sio wamshike) bali wachunguze sasa kama walimshika bila uchunguzi wa kina huo ni uzembe wa polisi sio mtoa taarifa..., vilevile polisi wana haki ya kuja kuchunguza kuna nini kinaendelea kama wana vibali maalumu ni kama ukisimamishwa kwenye gari na kuombwa leseni yako haimaanishi wamekwambia hauna leseni ?
Polisi wana kinga, ndiyo maana hawakupaswa kuwataja watoa taarifa sababu watoa taarifa hawana kinga dhidi ya taarifa wazitoazo pia zinaweza kuwarudia ikiwemo kufunguliwa kesi au visasi vinginevyo.
Mtoa taarifa si mkosaji mbele ya Polisi, lakini ni mkosaji kwa yule aliyetolewa taarifa. Aliyetolewa taarifa ana haki ya kuishi maisha yake, sheria haimlazimishi kujitangaza shughuli zake kwa majirani.