Majirani wanapiga kelele usiku usiku

Majirani wanapiga kelele usiku usiku

Mara ya kwanza na komenti hapa jamii forum bi. Faizafoxxy aliniambja kuwa sijui kuandika. Niliwaza sana kuhusu essay zangu za mfecane war na globalization ni kwamba ni nani ilikua ananiandikia.
shida sie wengine shule za msingi tulikua wabanaji, nakumbuka hata Literature shuleni nilikua msikilizaji tu.

ila l na r naona kama hazina mashiko tungetumia moja wapo tu.
 
Niliwahi kupanga Chumba, alafu Chumba kinachofata alipanga Mlokole.... acha kabisa
 
Sauti uliyoweka ni ya kuwakomoa walioko nje Ivo uliyendani ndo unaiva vyema🤣
Shida ni pale nilipokua natafuta usingiz then kuna kelele,
nilipo amka nakusikiliza mziki hata sauti nilikua naoma haitoshi.
 
Kuna Jirani yangu...mwanaharamu sana ...akianza kuangalia movie zake za kutafsiriwa kusema ukweli ile sauti siipendi ya yule mfasiri ...shida sio mfasiri shida ni, ile sautiii kubwa kama tunaongalia movie ni mtaa mzima
 
Daaa ni kweli, it's better kama sauti inayosikika haina makwazo kichwani kwako.
sauti ya nguvu inaweza ikawa sio kelo, shida inakuja ni sauti ya nini.
 
Niliwahi kupanga Chumba, alafu Chumba kinachofata alipanga Mlokole.... acha kabisa
Kibaya yeye asikilizi kasinziaaaaa hata akiitwa hasikii, wewe ndo unakula mapambio usiku kucha.
 
ukikubali kuolewa ni lazima ukubali kulala UCHI kila siku,dawa hapo ni kujenga nyumba yako tu,ni aibu Mwanaume mzima na pumbu zako timamu kuishi CHUMBA cha kupanga na kuja kuandinga ujinga JF,kwanza unapataje usingizi kwenye nyumba aliyojenga Mwanaume mwenzako??pambana Bro
unautapia mlo
help yourself before you start to suffer with seizure disorder
 
Ukikaa uswahilini ndio utajua jinsi watu walivyo na ujinga mwingi. Nilikua najitahidi nisikoseane na watu kumbe ndio kwanza wanakutafuta kwa kelele usiku,ili uongee tu. Dawa yao kuwapiga pini. Wafuate waambie waheshimu mipaka yao.
 
hapana nitakua naingilia uhuru wao, hii nchi huru kaka, acha tubajuke tu

wataanza kula moshi wa bange uwani soon tu 🤣😃
 
Sasa umepanga chumbaa cha 30k kwa mwezi kwa nini usikutane na hizo kero?
Kero ni sehemu ya maisha,
hata hapo ulipokaa wewe kuna kero flani hivi, unaenjoy life
 
Kolidani-Korodani..Ila huo msuko Ntamwambia Manzi autafute.
 
Back
Top Bottom