pingli-nywee
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 11,923
- 13,350
Cha kushangaza zaidi ni kwamba amri ilitoka juu, baada ya Idris kupost hiyo picha. Nanukuu, ''Naona mipaka ya kazi yako huijui, jisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi waambie nimetumwa na Makonda, utapata ujumbe wako.'' -RC wa Dar akiamrisha kupitia IG. Hivi niulize, sheria ya Tz inakubali amri kama hiyo kupeanwa kupitia mitandao ya kijamii?Akili ndogo hushughulika namambo ya hovyohovyo
Badilisha Kauli, hivi waliouwawa pale mwembe chai au kule pemba sio watzLkn hatujawahi kuuana wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda, Kenya, Burundi, Kongo, Sudani & Co., hivyo angalau hilo linasawazisha!
Unafahamu maana ya neno "dhiki" ?
Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?Lkn hatujawahi kuuana wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda, Kenya, Burundi, Kongo, Sudani & Co., hivyo angalau hilo linasawazisha!
Unajua mauaji ya kimbali mzee??Badilisha Kauli, hivi waliouwawa pale mwembe chai au kule pemba sio watz
Wee mkuu wa mkoa yupo ktk serikali ndogo(local government ).Cha kushangaza zaidi ni kwamba amri ilitoka juu, baada ya Idris kupost hiyo picha. Nanukuu, ''Naona mipaka ya kazi yako huijui, jisalimishe kwenye kituo chochote cha polisi waambie nimetumwa na Makonda, utapata ujumbe wako.'' -RC wa Dar akiamrisha kupitia IG. Hivi niulize, sheria ya Tz inakubali amri kama hiyo kupeanwa kupitia mitandao ya kijamii?
Nimekuuliza nini maana ya neno "dhiki"?Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?
Unauliza kama nani? Kama hujui maana yake, tafuta kamusiNimekuuliza nini maana ya neno "dhiki"?
Sijakuelewa, kwahivyo Dar wanatumia sheria zao wenyewe na polisi wao pia? Kama kuna mtu ambaye alikuwa anamtetea ilikuwaje akakamatwa kwa tuhuma za kipuuzi kama hizo?Wee mkuu wa mkoa yupo ktk serikali ndogo(local government ).
Halafu Rais wala hakushughulika na huyo Idris na wala hakutoa amri akamatwe bali ni Makonda na shobo zake.
Na kuna mwanasheria amejizatiti kumtetea Idris na kumkosoa Makonda asikurupuke km haijui sheria.
Tatzo sio Tanzania nzima Tatzo ni Makonda wa Dar ww unajumuisha taifa.
[emoji16] buda mbona design kama umecatch mafeelings kupitiliza, huyo idris kweli kuna sheria kavunja ila huwa inapuuzwa, ni makonda tu kaamua kula nae sahani moja, wapo wanaomchora magu vibaya zaidi ya idris lkn hawafanywi jambo.Unauliza kama nani? Kama hujui maana yake, tafuta kamusi acha upumbavu.
Kuwa serious basi..Lkn hatujawahi kuuana wenyewe kwa wenyewe kama Rwanda, Kenya, Burundi, Kongo, Sudani & Co., hivyo angalau hilo linasawazisha!
Ndio shida ya kutumia makwapa kufikiriaUnauliza kama nani? Kama hujui maana yake, tafuta kamusi acha upumbavu.
Haha! 😀 Kuna maswali ya kipumbavu ambayo hayana mtindo mwingine wa kuyajibu. Huyo Makonda si ni 'attack dog' wa mzee au? Huo ujeuri anautoa wapi na kwanini hakuna yeyote ambaye ana ubavu wa kumpinga anapovunja sheria? Vitengo vya usalama vipo hapo kwa matumizi yake au?[emoji16] buda mbona design kama umecatch mafeelings kupitiliza, huyo idris kweli kuna sheria kavunja ila huwa inapuuzwa, ni makonda tu kaamua kula nae sahani moja, wapo wanaomchora magu vibaya zaidi ya idris lkn hawafanywi jambo.
So usijibambe sana msee.
Unajua mauaji ya kimbali mzee??
Yale si mauaji ya kimbali.
Hakuna mwaka Tz kulitokea mauaji ya wenyewe kwa wenyewe km ilivyo Rwanda ,Congo .
Mauaji ya watu wanne watano ufananishe na mauaji ya watu mia mpk elfu !
Huwez kuwa sirias.
Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?