Hoja na approach yako kisheria is nonsense sababu ww sio mwanasheria na wala sio mwananchi, hujui sheria zetu.
Rais hana madaraka ndani ya mkoa wa Dar? Nani kasema haya.
IG ipo ndani ya jurisdiction ya mkoa wa DSM? Man, wtf are you talking about here.
Ulitaka amfuate kwake, kwani hiyo cartoon ya magufuli idris si aliiweka IG, na IG si ni njia ya mawasiliano, jurisdiction jurisdiction my feets. Nenda kamtetee mahakamani, mtutolee ujuaji na ujinga wenu, sisi tunataka big results, which we're seeing and feeling em. Uhuru upo wa kutosha na tuna enjoy na tumeridhika na magufulistan, nakushangaeni nyinyi pilipili msiyoila inawawashia nini.