mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Mimi ni mtz ila naona wenzangu ni wapumbavu kama RC na Baba yake hili unaweza gundua ni agizo toka juu maana hata minister H.Kigwangala hapo awali alijotolea kumtafutia wakili ndugu idris alipongezwa,Ashakum si matusi ila nyinyi ni wapumbavu kupindukia. Mnaunga mkono huu upuuzi? Mnataka kusema ni hatia kumtakia mtu 'birthday' njema? Tena kwa kutumia ubunifu 'presentable' na wa hali ya juu kama huo? Mmerogwa?
Ila naona amepima kina cha maji na kuhofu asije akawa kama Nnauye Nape
Ila huu ni ujinga vatoi nampango wa kuhamia nyeri nitafutieni dalali ili nionane na landlord mapema