Hiyo ni kwa concept yako ila ni tofauti kwa ground.
Ebu ulixa raia wa Tz na Kenya wap wana huzuni kuliko ??
Wewe bhanaa!!!
Endelea na assumptions zako.
Tz hakuna kitu cha kumfanya mtu ahuzunike na kuwa na furaha ndogo km usemavyo.
Nilimuuliza dhiki ni nini hakunijibuRekebisha title sasa dhiki inahusiana vipi na kukamatwa idris
Mauaji ya watu wanne watano ufananishe na mauaji ya watu mia mpk elfu !
Huwez kuwa sirias.
Vile vile Jambo likitokea sehemu moja ya Kenya nyinyi wenyewe haswa wewe unajumuisha Wakenya wote ila likitokea Hapo kwenu unakuja huku mbio guns blazing kujitetea...mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.Wee mkuu wa mkoa yupo ktk serikali ndogo(local government ).
Halafu Rais wala hakushughulika na huyo Idris na wala hakutoa amri akamatwe bali ni Makonda na shobo zake.
Na kuna mwanasheria amejizatiti kumtetea Idris na kumkosoa Makonda asikurupuke km haijui sheria.
Tatzo sio Tanzania nzima Tatzo ni Makonda wa Dar ww unajumuisha taifa.
Wacha tuletewe habari Kama hizi kuwahusu. Tunajua vizuri hazikufurahishi kwa hivyo huwezi zipost mwenyewe.Nilimuuliza dhiki ni nini hakunijibu
Nipost ya kazi gani wakati zilishapostiwa kibao,Wacha tuletewe habari Kama hizi kuwahusu. Tunajua vizuri hazikufurahishi kwa hivyo huwezi zipost mwenyewe.
Huwezi post kitu mbaya Cha Tz lakini Cha hapa Kenya unakimbia mbio Hadi unafanya makosa ya spelling ilimradi uwe wa Kwanza. Chuki na wivu yako kwa Wakenya Ni neema yetu kwa kuwa inatufanya tujikakamue zaidi.Nipost ya kazi gani wakati zilishapostiwa kibao,
Afadhali watanzania hupost kila kitu kwenye hii forums kuliko nyie ambao huwa mnapost upuuzi tu nyuzi zisizo na kichwa wala mkia.
Hakuna mbadala wa maisha/uhai iwe ni mtu mmoja.... wawili au zaidi.
Akifa amekufa, hakuna mwengine kama yeye.... ukifa umekufa hakuna mwengine kama wewe
Thamani ya uhai haina mlinganyo wala magazijuto or whatever.
Wewe nawe, Vifo vimetokea toka kuumbwa kwa Dunia hii na Vitaendelea kutokea,
Kwani unadhani Nyerere hakuua watu? Au Mwinyi hakuua? Au Mkapa au Kikwete, au hata wakoloni?
Relax, Mimi na wewe pia tutakufa, Haijalishi kwa namna gani, Unaweza hata kukosewa Dozi ya Dawa ukafa.
Ningekuwa na chuki na wivu kama nyie ningekuwa kila siku nafungua nyuzi zisizo na kichwa wala mkia kama ninyi mnavyofanya humu,Huwezi post kitu mbaya Cha Tz lakini Cha hapa Kenya unakimbia mbio Hadi unafanya makosa ya spelling ilimradi uwe wa Kwanza. Chuki na wivu yako kwa Wakenya Ni neema yetu kwa kuwa inatufanya tujikakamue zaidi.
Kama huna wivu na chuki nenda jukwaa la siasa ukakabiliane na watanzania wenzako kwenye Mashida mnayopitia humoNingekuwa na chuki na wivu kama nyie ningekuwa kila siku nafungua nyuzi zisizo na kichwa wala mkia kama ninyi mnavyofanya humu,
Mko busy kufuatilia news za Tanzania kutokana na kukosa kazi za kufanya,
Nisipo post mimi watapost wengine,
Embu niambie ni mkenya gani mwenye uwezo wa kupost mambo ya chini ya kapeti kenya zaidi ya Mkikuyu- Akili timamu
Na ndio maana mtaendelea kutukanwa na wazungu hadi mtie akili.
AVile vile Jambo likitokea sehemu moja ya Kenya nyinyi wenyewe haswa wewe unajumuisha Wakenya wote ila likitokea Hapo kwenu unakuja huku mbio guns blazing kujitetea...mkuki kwa nguruwe mtamu kwa binadamu mchungu.
Wewe nawe, Vifo vimetokea toka kuumbwa kwa Dunia hii na Vitaendelea kutokea,
Kwani unadhani Nyerere hakuua watu? Au Mwinyi hakuua? Au Mkapa au Kikwete, au hata wakoloni?
Relax, Mimi na wewe pia tutakufa, Haijalishi kwa namna gani, Unaweza hata kukosewa Dozi ya Dawa ukafa.
Hizi hoja zakishenzi. Watu wanne? Unamaana uhai wao sio lolote?
Be smart than this stupidity
We kumbe fala eeeeh??
Ni nn maana ya asilimia?
Kwann kitu hupimwa km ni asilimia kubwa au ndogo?
Mimi sio mwanasiasa na sijawahi fikiria kuwa mwanasiasa.Kama huna wivu na chuki nenda jukwaa la siasa ukakabiliane na watanzania wenzako kwenye Mashida mnayopitia humo
1)Tanzania kwa kiasi kikubwa hawawez kuhuzunika eti kisa Tundulisu kapigwa shaba ebu acha ufala.
2)Wanaohuzunika kufa kwa hao wanasiasa ni wafuatiliaji siasa sana sana na Tz ni wachache.
3)Kuhusu ufutwaji kaz,ugumu wa maisha,kukosa ajira nenda katizame ht ktk statistics ni idadi ndogo si kubwa km usemavyo.
YANI HII NDIO SAMPLE ULIYOLETA KUFANYA RESEARCH KWA KU DETERMINE MAJIBU YA WATU MILIONI 60???
KARUDI SHULE MAANA UNASIKITISHA.
Hivi unafaham kuwa Kenya ambayo haijawekwa watu hususan wanachuo hujinyonga kuhofia ugumu wa maisha?
Hivi Unajua hiyo Kenya ambayo haijawekwa kila siku mauaji yanatokea tena ya kutisha ?
Hivi Unajua kenya ambayo haijawekwa ktk hyo list wananchi wake hufa njaa kila mwaka ?
Hivi unajua kenya ambayo haijawekwa ktk hyo list wananchi wake huwa na manung'uniko kuhusu umilikaji ardhi na ugumu wa maisha?
Hivi unajua Kenya ambayo haijawekwa ktk hiyo list kila kukicha makampuni yanafuta watu kazi na kufungwa??
HIVI NDIVYO FURAHA YA NCHI INAPIMWA.
WEWE UNAZUNGUMZIA KITU KIMOJA VIFO TU AMBAVYO VINATOKEA KWA WALENGWA WA KISIASA UTAPIMAJE KWA WOTE ILHALI WANANCHI WENYEWE WA TZ HAWASHUGHULISHWI NA SIASA??.
Uchaguzi wa mwisho wa kumchagua awamu ya pili Uhuru Kenyatta sijui ilikua 2015 sikumbuki vema kulitokea mauaji wakenya wakiuana na kuchomana moto hadi nyumba zao hadi nyuso,unajua walihuzunika kiasi gani hao wananchi wa Kenya??
Rejelea na genocide ya 2007.
Yani huwez kuiweka Tanzania ktk hiyo list ukaiacha Kenya utakuwa ni fala wa kupitiliza.
NA WW UNAONEKANA SIO MTZ .
Unaelewa maana halisi ya neno uhai? Kwahiyo wewe upo teyari kufa kipuuzi sababu katika 55m ya watanzania wewe ni 0% unaelewa unachokipinga?
Muuwe kagame sababu yeye ni sample space ndogo ukilinganisha na wanyarwanda wote. Then pima impact baada ya hilo tukio.
1. Umeilewa mada?
2. Katika hizo subtopics 10 umezisoma zote?
3. Zote zinaongelea vifo?
Jifunze kusoma kwa kuelewa tena kwa ufasaha