Majirani watz mna dhiki kweli, yaani hamna utani kabisa, hata na wachekeshaji

 
You are narrow minded.

In fact when am debating with a some with brain disability

You are narrow minded.

Hebu tazama jibu lako☝️kisha linganisha na ukichoulizwa👇
1. Umeilewa mada?

2. Katika hizo subtopics 10 umezisoma zote?

3. Zote zinaongelea vifo?

Jifunze kusoma kwa kuelewa tena kwa ufasaha
 
Rejelea hiyo post yangu vema naona hujui kusoma na kuelewa.
Halafu soma na Kuhusu Kenya nilichoandika je vinafanania??
Sio km sina jibu sahihi Bali nabishana na much know.
Unajua kipimo cha wananchi kuwa na Furaha??
Eti wananchi waomboleze Kuhusu Tundulisu kwan kafa?
We punguani nini??
Kipimo cha furaha kwa mwananchi ni amani,uhuru wa kufanya atakayo bila ya kuvunja sheria,kipato,mahitaji muhimu yanayonfanya aishi vizuri.
Hiv vitu vyote Kenya vipo kwa uchache na Kenya haipo ktk hiyo list,unaweza kunambia kwann??
Nature ya wananchi wa Tanzania kwa asilimia kubwa HAWASHUGHULISHWI NA SIASA USITUDANGANYE HAPA.
MAUAJI YA MLENGWA WA KISIASA HAYAWEZ KUONDOA FURAHA ZA WANANCHI.
YANI UNAZIDI KUJIFUNGA NDUGU PUNGUZA UJUAJI MWINGI.
HUYO LISU TU ALIPOPIGWA RISASI DAR HAWAJASHUGHULIKA JE MIKOA MINGINE WANGESHUGHULIKA??
UNAPEWA FACTS UNASEMA POROJO.
NDIO MAANA NAKWAMBIA WW SIO MTZ HUJUI NATURE YA WATZ.
PUNGUZA UJUAJI MWINGI.
 
Poor me!

 
ACHANA NAYE KAKA HANA ALIJUALO.
ANAKUJA KUTUDANGANYA ETI WATU WALITAKA KUOMBOLEZA KUHUSU TUNDULISU ILHALI HAJAFA WE UNAMWONA MZIMA HUYU??
ACHANA NAYE MAANA HAJUI ANACHOBISHANIA.
You are narrow minded.
 
Huwezi jua mtoa mada labda jamaa kuna kitu aliwakera mabwanyenye Sasa wakawa wanamlia timing tu kama jamaa Yule mwenye sura ya Jay zee kule Twitter so baada ya kujichanganya ndo hvyo tena watu wkamsomba bt I hope jamaa Atakuwa huru tu na kuna kitu atakuwa. Amejifunza.
 
I thnk the problem wasnt about face Swapping_ mayble jinsi alivyotumia Coat of arms na Presidential chair for Fun_ Atleast ange edit pia hizi two symbols
 
Kuamrisha mtu kupitia mitandao ya kijamii, tena kupitia order ambayo sio rasmi kutoka kwa viongozi wa vitengo vya usalama ni sawa kisheria? Only in Magufulistan!
Yule ni mkuu wa mkoa, vyombo vya usalama mkoa ule vinafuata maagizo yake, kwa iyo kama mtu kavunja sheria anaweza puuzwa tu, kama kipanya, daily mocking magu in magazines, hajazinguliwa, hiyo idris wameamua tu kumzingua.
And I know you love magufulistan. Things happening here, many Africans wish they could be led by magufulistan.
Kwa iyo ji comfort
 
Kila zama na vitabu vyake
 
Hii ndio much know yenyewe.
Badala mtu kujibu alichoulizwa analeta masuala ya proffesion yake km vile wengine hatuna.
Tatizo ulijiona unaelewa upo mweupeee

Wewe unaongelea percentage mimi nazifanyia applications throughout mpaka kwenye heavy industry ya mathematics not only hapo to the extent of differential equations and Vectorial mechanics

Jipime
 
Naona umeamua kupuuza hoja na 'approach' yangu ya kisheria. Umerudi kwenye chorus yako ya hapo awali, very myopic. Sitashangaa ukiniambia kwamba Instagram ipo ndani ya 'jurisdiction' ya mkoa wa Dar, na kwamba Makonda ni RC wa Instagram pia. Endelea kusifia mifumo yenu ya kibabe na kibabaishaji na kutuambia kila mwafrika anatamani kuongozwa kidikteta. Kwa kifupi, unajaribu kutueleza kwamba rais wenu hana madaraka yeyote ndani ya mkoa wa Dar.
 
Hoja na approach yako kisheria is nonsense sababu ww sio mwanasheria na wala sio mwananchi, hujui sheria zetu.
Rais hana madaraka ndani ya mkoa wa Dar? Nani kasema haya.
IG ipo ndani ya jurisdiction ya mkoa wa DSM? Man, wtf are you talking about here.
Ulitaka amfuate kwake, kwani hiyo cartoon ya magufuli idris si aliiweka IG, na IG si ni njia ya mawasiliano, jurisdiction jurisdiction my feets. Nenda kamtetee mahakamani, mtutolee ujuaji na ujinga wenu, sisi tunataka big results, which we're seeing and feeling em. Uhuru upo wa kutosha na tuna enjoy na tumeridhika na magufulistan, nakushangaeni nyinyi pilipili msiyoila inawawashia nini.
 
Tukio kama hili la kuchukulia vitu vidogo vidogo na kuvifanya viwe ndio agenda kuu ni tabia ya watu wanaoishi kwa dhiki, na majungu. Unabisha?
Agenda kuu ndio nn sasa, wewe ni mtafuna mirungi mjinga mwingine tu, fuatilia dhiki na majungu ya kunyaland, usijifanye unaona ya jirani wakati kwako kupo worse and we know.
 
Heheehe! Kweli Tanzania imebadilika, sio ile tena, dhiki kuu....
 
Boss punguza mafeelings na umama. Eti jurisdiction my 'feets'. Ila sikulaumu, kwa sheria watu kama wewe huwa wanaitwa 'laymen', vitu kama hivyo itakuchukua miaka mingi sana kuvielewa. Kwahivyo acha yaishie hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…