Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Majirani zetu Wakenya na Waganda kupitia mitandao ya kijamii wapongeza namna Tanzania ilivyoandaa sherehe za ufunguzi wa African Football League na kushauri Tanzania ipewe sherehe za ufunguzi na mechi ya fainali katika mashindano ya Afcon 2027 ambayo kwa pamoja itaandaliwa Tanzania, Kenya na Uganda.