Majirani zetu Afrika Mashariki wafurahishwa na namna sherehe za ufunguzi wa African Football League zilivyofana, washauri tupewe ufunguzi Afcon 2027

Majirani zetu Afrika Mashariki wafurahishwa na namna sherehe za ufunguzi wa African Football League zilivyofana, washauri tupewe ufunguzi Afcon 2027

.
FB_IMG_1697705818872.jpg
 
Simba Imetuheshimisha
Haji Manara siku ya game ndio alienda kuhojiwa Clouds na kuanza kujaribu kuongelea manung'uniko yake ya kufungiwa na TFF.

Lengo lilikuwa ni watu wajikite kumjadili yeye badala ya mechi ya Simba. Na bado hakuwa na mvuto
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Huu msumari wa moto!

Kanoute kaleta uhai, kuwa wakweli, Chama, Baleke, Kibu wametuchelewesha sana!

Ule uzembe wa kocha kuua ulinzi ili kutafuta pointi 3 ilihali mlango wetu wa makuti, komeo la mti, tutakimbiana marudiano!

Boko, astaafu kwa heshima!
Hapa hakuna cha point 3 wala 1, ni knockout. Biashara ya Simba imeishia kwa Mkapa.
 
Hapa hakuna cha point 3 wala 1, ni knockout. Biashara ya Simba imeishia kwa Mkapa.
Nimekuelewa mkuu, sisi huku kijijini tukisema pointi 3, tunamaanisha ushindi.

Na sijui kwanini watu wa Yanga wamegoma kutambua kuwa, KNOCKOUT STAGE ilisharukwa kwenye AFL.

Timu 8 zinaanzia Robo!
 
Haji Manara siku ya game ndio alienda kuhojiwa Clouds na kuanza kujaribu kuongelea manung'uniko yake ya kufungwa na TFF.

Lengo lilikuwa ni watu wajikite kumjadili yeye badala ya mechi ya Simba. Na bado hakuwa na mvuto
Yule Ni Wa Kupuuzwa Maana Uelekeo Ameshaupoteza
 
Back
Top Bottom