Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

Kikiwo

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2017
Posts
2,004
Reaction score
1,095
Wana JF,

Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.

Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto kwamba siku ya Jumatano ni siku gani ya week? Wanafunzi wote wakasema Jtano ni siku ya Tano ya week.

Hivi kiukweli mniambie, siku ya Juma tano -J5 tunavyoelewa hapa Tanzania ni siku gani au siku ya ngapi ya week?

Nasubiria majibu..........
 
Wewe umekurupuka kwa kudhani kuwa kiswahili ni lugha yetu watanzania! Huyo mwalimu alianza na Jumamosi ikiwa ni siku ya kwanza kwa kiswahili na Jumapili siku ya pili, tuambie wewe hiyo Jumatano ni siku ya ngapi ili tuufunge mjadala usio na tija.
 
Sasa unashanga nini jombaa, jmosi, jpili, jtatu, jnne, jtano au wewe kiswahili chako ni cha-ugoko?
 
Naona wengi munashindwa kuelewa hesabu rahisi kama hii. Hivi umewahi kuona kalenda inayoanza na siku ya jmosi kama siku ya kwanza ya week? Mimi sijawahi kuiona kusema kweli.
 
Sasa unashanga nini jombaa, jmosi, jpili, jtatu, jnne, jtano au wewe kiswahili chako ni cha-ugoko?
Kwani unatumia calender gani? rusha picha ya hiyo calender tuione.
 
Kikatiba siku ya kwanza ya juma ni Jumatatu

Kibiblia siku ya kwanza ya juma ni Jumapili
Naona unakoabudu wamekuchanganya, Mungu alipumzika siku ya saba, ambayo ndiyo ijumaa.Siku ya kwanza ya wiki ni jmamosi
 
Wana JF,

Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.

Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto kwamba siku ya Jumatano ni siku gani ya week? Wanafunzi wote wakasema Jtano ni siku ya Tano ya week.

Hivi kiukweli mniambie, siku ya Juma tano -J5 tunavyoelewa hapa Tanzania ni siku gani au siku ya ngapi ya week?

Nasubiria majibu..........
Siku ya tano. Sasa hata hesabu za Kiswahili hujwi?
Mosi = Moja = Jumamosi / siku ya kwanza ya juma.
Pili = Mbili = Jumapili / siku ya pili ya wiki

Endelea hivyo hivyo mpaka siku ya Ijumaa = (ni jumla ya kukamilisha siku za wiki).

Ijumaa imetokana pia na Kiarabu - mkusanyiko, ni siku ya mwisho wa wiki ambayo Waislam hukusanyika wakasali pamoja sala ya mchana.

Siku ya Ijumaa Waislam hutolewa hotuba (khutba) inayotalewa kila wiki msikitini, kujuwa matatizo yaliyowakuta au matukio na pia kujuliana hali ya wiki iliyopita) ili waikabili wiki inayofata kwa vizuri zaidi.

AlhamduliLlah Uislam ni mwema sana.
 
Back
Top Bottom