Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

Majirani zetu na kufundisha kiswahili mashuleni

Siku ya tano. Sasa hata hesabu za Kiswahili hujwi?
Mosi = Moja = Jumamosi / siku ya kwanza ya juma.
Pili = Mbili = Jumapili / siku ya pili ya wiki

Endelea hivyo hivyo mpaka siku ya Ijumaa = (ni jumla ya kukamilisha siku za wiki).

Ijumaa imetokana pia na Kiarabu - mkusanyiko, ni siku ya mwisho wa wiki ambayo Waislam hukusanyika wakasali pamoja sala ya mchana.

Siku ya Ijumaa Waislam hutolewa hotuba (khutba) inayotalewa kila wiki msikitini, kujuwa matatizo yaliyowakuta au matukio na pia kujuliana hali ya wiki iliyopita) ili waikabili wiki inayofata kwa vizuri zaidi.

AlhamduliLlah Uislam ni mwema sana.
Yani bila kuwataja Waarabu na Uislamu ningeshangaa sana.
 
Wana JF,

Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.

Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto kwamba siku ya Jumatano ni siku gani ya week? Wanafunzi wote wakasema Jtano ni siku ya Tano ya week.

Hivi kiukweli mniambie, siku ya Juma tano -J5 tunavyoelewa hapa Tanzania ni siku gani au siku ya ngapi ya week?

Nasubiria majibu..........
Wasabato mna shida sana, kwahiyo mliaminishwa jumamosi ndio siku ya saba?
 
Wana JF,

Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.

Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto kwamba siku ya Jumatano ni siku gani ya week? Wanafunzi wote wakasema Jtano ni siku ya Tano ya week.

Hivi kiukweli mniambie, siku ya Juma tano -J5 tunavyoelewa hapa Tanzania ni siku gani au siku ya ngapi ya week?

Nasubiria majibu..........
Swali fikirishi sana hili, jumatano ni siku ya ngapi ya wiki?
Wengine watasema ya tano, wengine watasema ya ya tatu na wengine watasema ni ya nne… Ni virugu tupu.
 
Back
Top Bottom