Tukiisema sana bandari vichwa vitauma .Sisi tupo busy na bandari
Wewe umekurupuka kwa kudhani kuwa kiswahili ni lugha yetu watanzania! Huyo mwalimu alianza na Jumamosi ikiwa ni siku ya kwanza kwa kiswahili na Jumapili siku ya pili, tuambie wewe hiyo Jumatano ni siku ya ngapi ili tuufunge mjadala usio na tija.Wana JF,
Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.
Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto kwamba siku ya Jumatano ni siku gani ya week? Wanafunzi wote wakasema Jtano ni siku ya Tano ya week.
Hivi kiukweli mniambie, siku ya Juma tano -J5 tunavyoelewa hapa Tanzania ni siku gani au siku ya ngapi ya week?
Nasubiria majibu..........
Sasa unashanga nini jombaa, jmosi, jpili, jtatu, jnne, jtano au wewe kiswahili chako ni cha-ugoko?Wana JF,
Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.
Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto kwamba siku ya Jumatano ni siku gani ya week? Wanafunzi wote wakasema Jtano ni siku ya Tano ya week.
Hivi kiukweli mniambie, siku ya Juma tano -J5 tunavyoelewa hapa Tanzania ni siku gani au siku ya ngapi ya week?
Nasubiria majibu..........
Kweli mkuuTukiisema sana bandari vichwa vitauma .
Sasa unashanga nini jombaa, jmosi, jpili, jtatu, jnne, jtano au wewe kiswahili chako ni cha-ugoko?
Kikatiba siku ya kwanza ya juma ni JumatatuSiku ya kwanza ya wiki ni jumamosi kwa hiyo wako sawa jtano ni siku ya tano ya wiki
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mkuu umenipa kazi nisiyokua na experience nayo.Unaona ajabu majirani zako, nchi za kiarabu hususan oman kama sikosei sio chini ya asilimia 50 au hata zaidi wanakipiga kiswahili halafu waarabu ni wepesi mno kukijua hiki kilugha
The Icebreaker atakua anafahamu zaidi
Mkuu umenipa kazi nisiyokua na experience nayo.
😀 😀
Pamoja mkuu.Hahhaaa tunafurahishana mkuu, Nakupenda kwa ajili ya Allah
Naona wengi munashindwa kuelewa hesabu rahisi kama hii. Hivi umewahi kuona kalenda inayoanza na siku ya jmosi kama siku ya kwanza ya week? Mimi sijawahi kuiona kusema kweli.Wewe umekurupuka kwa kudhani kuwa kiswahili ni lugha yetu watanzania! Huyo mwalimu alianza na Jumamosi ikiwa ni siku ya kwanza kwa kiswahili na Jumapili siku ya pili, tuambie wewe hiyo Jumatano ni siku ya ngapi ili tuufunge mjadala usio na tija.
Acha hizoNi siku ya Bandari
Kwani unatumia calender gani? rusha picha ya hiyo calender tuione.Sasa unashanga nini jombaa, jmosi, jpili, jtatu, jnne, jtano au wewe kiswahili chako ni cha-ugoko?
Naona unakoabudu wamekuchanganya, Mungu alipumzika siku ya saba, ambayo ndiyo ijumaa.Siku ya kwanza ya wiki ni jmamosiKikatiba siku ya kwanza ya juma ni Jumatatu
Kibiblia siku ya kwanza ya juma ni Jumapili
Kama alipumzika siku ya 7 siku ya 8,9,10,11,12.......alifanya nini?Naona unakoabudu wamekuchanganya, Mungu alipumzika siku ya saba, ambayo ndiyo ijumaa.Siku ya kwanza ya wiki ni jmamosi
Siku ya tano. Sasa hata hesabu za Kiswahili hujwi?Wana JF,