demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
Sikiliza Mtani.
Masikhara tuyaweke pembeni, ila kuhusu huyu mwanadada nakushauri apewe rikizo ndefu tena isiyo na maelezo ya atarudi lini. Niliwahi kuzungumza hapa jukwaani.
katika dunia ya sasa utapigiwa makofi lukuki pale utakapo jaribu kuzingatia sana usawa wa kijinsia pasipo kuweka kipaumbele malengo yako. Binafsi sina shaka na uwezo wake, lakini katika ile nafasi anahitajika kiongozi wa kiume ambaye atakuwa na busara, weledi, uzoefu na akili ya namna ya kutimiza majukumu ya msingi.
Huyu binti Barbra amejaa na wivu, kiburi, majivuni na hasira. Hizo zote ni emotional characteristics za mwanamke. Hivyo basi katika maamuzi mengi atakayo paswa kufanya hato weza kuyafanya ipasavyo kwa sababu atakuwa akisukumwa na hisia zaidi kuliko Logic.
Ona kwa mfano alivyo handle suala lenu la Morrison.
Mchezaji amefikia ukingoni mwa mkataba na klabu. Unapomuita ili kujadiri suala la mkataba mpya ni wazi kuwa kuna improvements za kimkataba atazihitaji. Kutokana na kukosa uzoefu na kuwa mtu mwenye mihemko akaamua kutengeneza mkataba ambao ndani yake umepunguza mshahara na signing fee ya mchezaji.
Mchezaji ulikuwa ukimlipa mil 11 kwa mwezi, kwenye mkataba mpya umeandika atalipwa mil 7. Iweje mchezaji mkubw akama yeye signing fee yake iwe mil 50 kweli?
Hiyo ndio sababu mchezaji akagoma kuongeza mkataba akitaka maboresho na maslahi mazuri kwasababu mpira ndio kazi yake.
Baada ya mchezaji kugoma. Barbra akaanza kumuanzishia zengwe. Mara anamwambia mchezaji hana nidhamu, mara anamwambia akae mbali na timu. Badala ya kukaa chini na kutafuta namna njema anatumia nguvu.
Sawa alikorofishana na Manara, tukasema Manara ni mkorofi.
Hivi sasa yuko na bifu na Morrison, kwa mazoea yetu tunasema bernard ni mkorofi.
Kibaya zaidi amepewa maamuzi yeye ya kupanga mshahara wa mchezaji, sakata lote hili hata MO alikuwa halifahamu vyema. Amekuja kupea habari juzi tu hapa.
Haya mambo ndio yaliyompelekea Bernard Morrison kuanza mazungumzo na Yanga SC tangu tarehe 7 May, 2022.
Hivi sasa/leo Mo amekuwa na mazungumzo na Morrison ofisini kwake kuhusu kusalia Msimbazi msimu ujao lakini anapatwa kigugumizi ni namna gani Morrison na Barbra wataishi pamoja.
NOTE:-
Benard MOrrison bado hajasaini Yanga SC ila Yanga wamekwisha muwekea mkataba mezani wenye offer nzuri aidi ya Barbra. Amepewa mpaka tarehe 10 ya mwezi wa 7, baada ya hapo Yanga SC nao watafunga mlango wao na kuangalia chaguo lingine ambalo wameliweka pending kwa sasa.