Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,345
Reaction score
56,148
Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan,

Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000

sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka utadhani wao ndio mabosi.

Majizo big up
 
Namuona hapa
IMG-20250505-WA0036.jpg
 
Ukumbi wa Super dome ulishangazwa na tukio la majiz,tajiri wa EFM na ETV kutinga ukumbini na nguo za bei chee pale tandale ambapo mgeni rasmi alikuwa rais Samia Suluhu Hadsan,

Jamaa alitinga T shirt ya 10,000 jeans ya 20,000 na sandal za 8000

sasa chawa wake na wafanyakazi wake walivyolipuka utadhani wao ndio mabosi.

Majizo big up
Tuone picha yako ulivyoingia ukumbini kwanza
 
Kwa uku kwetu Soweto.
T-shirt afu tatu ,suruali buku Tano na izo ndala ni bei izo izo
Sema big katisha ametokelezea😇
 
Fashion sio ya kila mtu joh, labda anapenda kuvaa hivyo uonavyo wanavaa wafanyakazi wake ila ubunifu wa mavazi hana.

Matajiri wapenda fashion pia huvaa simple na kupendeza.
 
Yani huyu ndio kamuajiri maulidi kitenge dah maisha bana.
 
Back
Top Bottom