Majizo alivyotinga ukumbini tuzo za Samia na nguo za kulimia shambani

Hataki kuonekana fisadi labda, anataka tumuone maskini tu anajitafuta
 
Fashion sio ya kila mtu joh, labda anapenda kuvaa hivyo uonavyo wanavaa wafanyakazi wake ila ubunifu wa mavazi hana.

Matajiri wapenda fashion pia huvaa simple na kupendeza.
Naunga mkono hoja Majizzo hajawahi kujua kuvaa tokea akiwa Dj hadi leo akiwa na pesa
 
Anajifanya disminder ila anakosea kuna sehemu na sehemu...ukumbi alipo Rais huwezi vaa kipuuzi puuzi hivyo...

Anajifanya disminder ila anakosea kuna sehemu na sehemu...ukumbi alipo Rais huwezi vaa kipuuzi puuzi hivyo...
Sasa kama marais wenyewe wanavaa hivi sembuse hiyo. Huyu Zelensnky mpaka walimsema ikulu ya Marekani kw uvaaji wake.
 
Mchana alikuwepo kusetup mziki. Usiku Alibadilisha akavaa suti. Acha kukremisha
 
Kuna event nyingine mwaka jana alishavaa kibaharia hivyo hivyo halafu akaenda kukabidhi tuzo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…