GE2025 Majizzo apata ajali mbaya akiwa kwenye kampeni za CCM Zanzibar, wawili wafariki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Inside10

Platinum Member
Joined
May 20, 2011
Posts
34,776
Reaction score
42,933
Screenshot_20250921_154620_Instagram.jpg

Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili.

Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi, Zanzibar.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Majizzo amejeruhiwa vibaya na kwa sasa amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU).
 
Alooooo.... CCM kama imepata ka laana hivi... au ndio Novena inafanya kazi?
 
Hao vijana waliokufa kwenye ajali hii wameshajulikana?

Safari hii hadi polisi wameuchuna, wameona moto wa wananchi utakuwa mkubwa kwenye comments🤣🤣🤣
 
Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili.

Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi, Zanzibar.

Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Majizzo amejeruhiwa vibaya na kwa sasa amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU).
Makafara...hayoo kile kibanda cha kusalia cha Mwamposa choma moto tar 29...Oct
 
Wakuu,

Kama unaishi Malawi basi utakumbuka kuwa siku chache kulikuwa na tetesi kuwa yule Mkurugenzi wa TVE Majizzo alikuwa amepata ajali akiwa kwenye kampeni za mbogamboga (CCM)

Hiyo ajali allegedly ilisababisha vifo vya watu wawili na ilitokea huko Zanzibar.

Kilichostua watu wala sio ajali bali ni kitendo cha EFM na TVE kutokupost wala kuzungumzia ajali hiyo kitu ambacho sio kawaida.

Wajuzi wa mambo wanasema kwa waliogopa kupost kwa sababu Majizzo yuko karibu na "mfumo" na alipata ajali akiwa kwenye kampeni kwa hiyo spana ambazo angeshushiwa kwenye comments zingekuwa nzito na ndio maana si yeye wala kituo chake waliopost.

Baada ya kuficha ficha, Majizzo hatimaye kapost.

Kama Tanzania imefika hatua affiliates wa mbogamboga wanaficha madhila wanayowakuta wakihofia comments za wananchi basi kama taifa tunaelekea pazuri

kumbeee.png
 
Back
Top Bottom