The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
RIP
Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili.
Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi, Zanzibar.
Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Majizzo amejeruhiwa vibaya na kwa sasa amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU).