Kufa tu,kifo ni kifo tu
Kufa tu,kifo ni kifo tu
Ngoja waje tusikie...Nimeona habari kuwa Majizo amepata, kuna yoyote anaweza thibitisha hii ajali?
Na kwa nini watu Instagram wamefurahia badala ya kusikitika?
Alooooo.... CCM kama imepata ka laana hivi... au ndio Novena inafanya kazi?
Taarifa kutoka Zanzibar zilizopatikana zinaeleza kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa EFM na TVE, Francis Ciza maarufu kama Majizzo amepata ajali mbaya ya gari iliyopelekea vifo vya watu wawili.
Tukio hilo lililotokea katika harakati za maandalizi za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Nungwi, Zanzibar.
Taarifa zaidi zimeeleza kuwa Majizzo amejeruhiwa vibaya na kwa sasa amelazwa katika chumba cha wagonjwa wanaohitaji uangalizi maalum (ICU).
Makafara...hayoo kile kibanda cha kusalia cha Mwamposa choma moto tar 29...Oct