GE2025 Majizzo apata ajali mbaya akiwa kwenye kampeni za CCM Zanzibar, wawili wafariki

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
RIP
 
Kwa
kwanini hajafa?
 
Ndio vizuri machawa wafe kabisa!! Naimani zamu inayokuja ni ya huyu chawa wa humu, lucas mishwamba or mashimbwa whatever!
 
Ukweli walikuwa kwenye speed Kali, ndio waliosababisha kuwagonga raia mpaka kupelekea vifo

Hatari kweli ,kumbe waliofariki ni raia waliogongwa? Mbona nasikia kuna ofisa vipenyo wengine walifariki hapo ambao walikuwa kwenye gari lililopata ajali?
 
Hatari kweli ,kumbe waliofariki ni raia waliogongwa? Mbona nasikia kuna ofisa vipenyo wengine walifariki hapo ambao walikuwa kwenye gari lililopata ajali?
Umeona hii KAZI sijui ya vipenyo isivyokuwa na future, unakufa kwenye majukumu + or - , your sponsor never care's, wanasema kajaga Twende.
 
Mbona hii habari inakuja nusunusu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…