Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Kuna mada nyingi sana zimeanzishwa kuhusiana na kuugua kwa Ruge
Wapo wanaompa pole
Wapo wanaomshangaa kwa nini ameshindwa kujiuuguza
Wapo wanaomhukumu kwa style ya maisha yake kabla kuugua
Wapo wanaomtakia kifo cha haraka
Wapo wanaomcheka na kumdhihaki
***Ruge naomba nikupe pole sana na kuugua. Mungu ni muweza ya yote. Mtegemee Mungu

Wanadamu tuwe na huruma
Kila mwanadamu ana mapungufu
Huyu ni mtoto wa mtu ana ndugu ni mzazi sidhani kama tunawatendea haki
Tuwe na UTU
Kama hujaguswa kuchangia ni busara kusema tutakuombea kwa imani zetu
Leo kwake kesho kwako
Hakuna aijuaye kesho

Pole sana ndugu yetu
Keep on fighting there are miracles
Mungu akusimamie katika hili!
 
Kumchangia mtu wakati wa matatizo ni utu hauhitaji mtu awe tajiri au masikin na kwa maisha haya mbunge ni tajiri kuliko hata ruge lakin wengi wakiumwa kupelekwa nje serikali inawasaidia na hapo mwisho wa mwezi anapokea 12m na baada ya 5 years anachukua 300m+ lakini Lissu waliomba michango hata Chadema kipindi cha JK walishaombaga michango licha ya kupewa ruzuku so huyo anaemfananisha Lissu na Ruge nafikiri hajatumia uwezo wake kufikir na sidhani kama Ruge mwisho wa mwezi mapato yake yote yanafika 12m pamoja na kuwa ni boss na boss ni jina tu usikute hata Kibonde au Kipanya anamzidi ruge kwa kipato sema kutokana yeye ndio master mind wa kampuni inabidi amheshimu tu
 
FiestaTigo
Clouds TV na Clouds FM
MillardiAyo Website
MillardiAyo YouTube ndo ya pili kwa subscribers Tanzania
Matangazo kwenye TV yake clouds
Kuna Wasanii wanamwingizia pesa anaowasimamia n.k
atakosa pesa za matibabu kweli?
 
FiestaTigo
Clouds TV na Clouds FM
MillardiAyo Website
MillardiAyo YouTube ndo ya pili kwa subscribers Tanzania
Matangazo kwenye TV yake clouds
Kuna Wasanii wanamwingizia pesa anaowasimamia n.k
atakosa pesa za matibabu kweli?
Ndo ikafika mil 600 zikaisha.

"Thank you God"
 
Huyo hakupaswa hata kuchangiwa kabsa, alishawazurum wasanii kibao Sana kujinufaisha Yeye tu Mpk kawa tajiri kwa kuwanyonya wasanii, akina Ngwear, jide na wengne kibao, toka ameugua msanii gani umeona anahamasisha kumchangia au hata kuonesha kuguswa hasa wasanii wa Zamani kuwanyonya Sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wakiwa wazima wa afya wanajifanya wanambwembwe na kujisifu kuwa wana mshiko, wakiugua wanajifanya kujishusha na kutuomba michango walala hoi. wasanii wa bongo vituko kama wa US tu,,,, GOFUNDME

Ungekuwa ndio wewe mgonjwa , ungekuwa ushazikwa kitambo . Wenzako mpaka sasa wametumia zaidi ya milion 500 ili ndugu yao apone.
 
Escape one sio ya Ruge.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

aisee...
 
Wanunuzi wapo! Mwambieni aweke sokoni Ghorofa km analo! Juzi tu hapa CCM wameinunua channel 10!
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda kidogo na kwenye vitaasisi tunapiga Kazi Mana staff watashiriki mazishi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…