Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Kuna mada nyingi sana zimeanzishwa kuhusiana na kuugua kwa Ruge
Wapo wanaompa pole
Wapo wanaomshangaa kwa nini ameshindwa kujiuuguza
Wapo wanaomhukumu kwa style ya maisha yake kabla kuugua
Wapo wanaomtakia kifo cha haraka
Wapo wanaomcheka na kumdhihaki
***Ruge naomba nikupe pole sana na kuugua. Mungu ni muweza ya yote. Mtegemee Mungu
Wanadamu tuwe na huruma
Kila mwanadamu ana mapungufu
Huyu ni mtoto wa mtu ana ndugu ni mzazi sidhani kama tunawatendea haki
Tuwe na UTU
Kama hujaguswa kuchangia ni busara kusema tutakuombea kwa imani zetu
Leo kwake kesho kwako
Hakuna aijuaye kesho
Pole sana ndugu yetu
Keep on fighting there are miracles
Mungu akusimamie katika hili!