Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Majizzo Ndani ya Clouds360 on Clouds Tv February 20

Too bad wanadiscourage Ruge kuchangiwa hela ya matibabu ndio hao hao walikuwa wanatukana Bunge na Jiwe kuhusu kuzuia wabunge wa ccm kumchangia Mh Tundu Lissu.
Acheni unafiki na mawazo ya kimaskini kwamba mwenye uwezo hawezi hitaji msaada.
 
Uchawi siyo mpaka upige manyanga, Chuki mlizonazo ni uchawi tosha.
Basi tufanye hajatumia hata senti yake, umeridhika?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa jamaa hawana chuki na mgonjwa au ruge Bali hawa jamaa wana hoja msingi sana kuwa kwanini mtu unajiita tajir afu ukiumwa unarud kwetu sisi Masikin walala hoi kuja kutembeza bakuli?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ruge ana mali kibao.. na baba yake ni proffessa.. kwao wana pesa na yeye ana mali kibao.. nashangaa why watu wanachangishwa.. ile escape one beach ni ya ruge , ile tatu mzuka inayotoa mazawadi kila wiki mahela ni ya ruge.. ile THT wasanii ni ya ruge..

Gari anazotembelea ruge sio used za kijapan.. ufupi maisha yake ni ya kitajiri.. nashangaa why asiuze asset zake?
Hii ni hear say my dear... Lini alikwambia hizo ni mali Zake?? Lini? Una ushahidi?? Mbona Jaydee tuliambiwa Efm ni yake na sio ya Majizzo??? Kuna tofauti kuwa na ubia na kuwa mmiliki! Truth be told, huyu Ruge hajawahi jisifia kuwa na mali, hajawahi. Na kuitwa boss kulitokana na wale alowasaidia kuona anastahili kuitwa boss. Ni kama we unavomuita muajiri wako boss.

"Thank you God"
 
Ugonjwa ni suala linaloweza kumtokea mtu yeyote regardless ni tajiri au maskini,
Watu wengi maskini humtegemea Mungu zaidi na hivyo ushiriki wao wa namna yoyote huwa ni maombi. . So usidhhaki kuwa matajiri wanakuwa na mbwembwe, sikatai wapo lakini kwa Ruge Mungu ni shahidi pamoja na mapungufu yake amesaidia wengi Ninayo imani kuwa maombi ya maskini yatamponya Ruge. Kumbuka kuwa pia ugumu wa utafutaji wa pesa kwa maskini inatafutwa kwa shida hivyo baraka za Pesa hizo huanzia hapo na hivyo ni Sala tosha kwa Ruge.

Tumwombee Mwenztu!!
maelezo mazuri.....
 
Duhh! Anatumia milioni tano kila kukicha kwa ajili ya matibabu. Tumuombee kwa Muumba ili avuke kipindi hiki kigumu katika maisha yake, manake hata Dimpoz alifanikiwa.
Ila huyu jamaa nina wasiwasi na ugonjwa wake, kama sio TANESCO basi atakuwa amepewa sumu
TANESCO ndio ugonjwa gani mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom